umeambiwa na Madame B kuwa uniache nipumue....hujamsikia?
Vin Diesel nafikiri chep cha mwenyekiti wa penda penda kinakufaa wewe Mamndenyi nimekumiss wewe hebu pokea hiyo mwahaaaa
Huo Mkwara wa Ng'ombe kula nyasi lakini anatoa maziwa.
Bwana wako namchukua na hunifanyi lolote,
Sijali lolote.
Mamndenyi umeikataa hivi hivi ngoja nimwite sweetlady wangu hapa Vin Diesel haaminiki yule kuna mengi sana huyajuiMr. Rocky upo, hiyo mwahaaaaa yako baki nayo mi nshamzoea Vin Diesel.
Unajua sikuelewi Vin Diesel?
White Party uko na nani mpaka mwisho. Jibu A au B
(a) Mamndenyi
(b) Madame B
Jibu ni [ ]
Vin Diesel hata kama utapumulia mipira utajijua.
hapa umegota mwamba mkuuu.....fitina zako na Filipo hazifanyi kaziMamndenyi umeikataa hivi hivi ngoja nimwite sweetlady wangu hapa Vin Diesel haaminiki yule kuna mengi sana huyajui
Ndo mana yake,
Mhonge,anihonge ndo mambo ya mujini.
Hapana Cheze Wadada wa Mjini,watu na Mihangaiko yao.
Alisema atakuwa na dadaz 20... Je wewe ni mmoja wa hao 20????
Alisema atakuwa na dadaz 20... Je wewe ni mmoja wa hao 20????
Km kawa km dawa.
Ndofu moja
Nilichange namba ya simu ngoja nikupe hii mpya nitakusave charminglady voda ili baby asijue sawa!!!!!
mjini akili kumkichwa.....kazi anayo....
Mjini Shule, Shamba Kilimo.