TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

Mpango wangu na Arabela ni matokeo ya ujirani mwema tuliouanzisha baada ya safari ya Tanga! Ni mpango mzuri utakaoleta "uwekezaji mkubwa" kwa maendeleo ya taifa. You dont have to worry!

Naona mnanitafuta.
 
Last edited by a moderator:

Hapo nakubali. Ujio huu kama katapila
 
Last edited by a moderator:
Ndo mila za kumkaribisha
mgeni aliyetoka jela..., ni utamaduni tu. Si unajua mtu akitoka jela,
kitanda kinaweza vunjika ndugu...

W'come back mwenye chair Baba V.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…