TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

Hizi post zilizopitwa na muda zinatuchanganya! Mfano hapa!
Inshort mi hata sijui mustaqbali wa Baba V , kama yuko exile au ni vipi !
Jamvini simuoni, aidha pamoja na B52 sijui nae yu'wapi !
 
Last edited by a moderator:
Hizi post zilizopitwa na muda zinatuchanganya! Mfano hapa!
Inshort mi hata sijui mustaqbali wa Baba V , kama yuko exile au ni vipi !
Jamvini simuoni, aidha pamoja na B52 sijui nae yu'wapi !

hii ilikuwa ban ya kwanza sasa karudi huko lakini tunaye kimwili
 
Last edited by a moderator:
hii ilikuwa ban ya kwanza sasa karudi huko lakini tunaye kimwili

Hee kumbe ni hayo! Ban za humu nao deiz shughuli , nna hisi huku tuendako itakujafika mtu kakuamkia shkamoo, na usipoitikia mar'haba unakula ban!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…