ningeshangaa sana kama kwenye hiyo list ningekuwa sipo dah,private nakutamani sana ila mkeo dah noma bana alinipa ma shushu huyo nikalala hoi, kwanini tusiende pale cc pub ya erick52 pale pametulia sana nadhani tutayamaliza salama si ndio eeeh?
Ni sawa na kumuambia Baba V ana mimba, sijui ataanza kulia ama kuomba?
Kama ilivyo imposican't kwa mwanaume kushika mimba ndivyo ilivyo kwa Arushaone kusogerea familia yangu.
karibu sana Baba V jukwaani...kwa taarifa yako mimba alonayo Madame B mie ndio muhusika namba moja...hao wengine wote ni washika pembe na wengine wasafisha banda....huyo Arushaone ni mkata majani tu...
Ndoa yangu na Mamndenyi inategemea na maelezo ya nini amekuwa anafanya na Bishanga pindi nasafiri Judgement nae anamkuwadia Mamndenyi kwa anko wake ndio maana nikaamua kusaka dogo dogo wapyaaaaa....kuna mmoja kapatikana na atatambulishwa rasmi siku ya white party...
Kwa nini waume wenza Arushaone, Chimbuvu, tedo, Chilli na Chibolo mnaing'ang'ania hii mimba?
Mnaijua ya nani?
Haya tusubiri after 2 weeks jibu litapatikana.
Ila sitaki mumgawanye mwanangu,right?
Haya.
Kwa nini waume wenza Arushaone, Chimbuvu, tedo, Chilli na Chibolo mnaing'ang'ania hii mimba?
Mnaijua ya nani?
Haya tusubiri after 2 weeks jibu litapatikana.
Ila sitaki mumgawanye mwanangu,right?
Haya.