karibu sana Baba V jukwaani...kwa taarifa yako mimba alonayo Madame B mie ndio muhusika namba moja...hao wengine wote ni washika pembe na wengine wasafisha banda....huyo Arushaone ni mkata majani tu...
Ndoa yangu na Mamndenyi inategemea na maelezo ya nini amekuwa anafanya na Bishanga pindi nasafiri Judgement nae anamkuwadia Mamndenyi kwa anko wake ndio maana nikaamua kusaka dogo dogo wapyaaaaa....kuna mmoja kapatikana na atatambulishwa rasmi siku ya white party...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
ningeshangaa sana kama kwenye hiyo list ningekuwa sipo dah,private nakutamani sana ila mkeo dah noma bana alinipa ma shushu huyo nikalala hoi, kwanini tusiende pale cc pub ya erick52 pale pametulia sana nadhani tutayamaliza salama si ndio eeeh?
Isije ikawa ulienda kumfunga Slave, mie nilienda kuomba server za jf zisiwe na uwezo wa kunipa Ban
Hala hala kidole na macho naomba nitoe kwenye hiyo list...
Kwa hiyo @ chimbuvu ni la Kibisa
we Vin Diesel tatizo lako kuvamia misitu kwa kiwembe.karibu sana Baba V jukwaani...kwa taarifa yako mimba alonayo Madame B mie ndio muhusika namba moja...hao wengine wote ni washika pembe na wengine wasafisha banda....huyo Arushaone ni mkata majani tu...
Ndoa yangu na Mamndenyi inategemea na maelezo ya nini amekuwa anafanya na Bishanga pindi nasafiri Judgement nae anamkuwadia Mamndenyi kwa anko wake ndio maana nikaamua kusaka dogo dogo wapyaaaaa....kuna mmoja kapatikana na atatambulishwa rasmi siku ya white party...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
nitahitaji maombi maalum ili huyo pepo mbaya asije mvaa my Evelyn Salt naogopa kuwa zezeta mbele ya my waifu wangu. Cheyamen Baba V naomba uunde tume ichunguze hili jambo aisee chezea lukomolo eikei ei shuntama au genda ugaruke pale singida waita nkulu kulu. Ikibainika hivyo nitatoa talaka siku ya ndoa.