TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

iii. Mungi ulete maelezo ya kina juu ya kashfa yako ya kimahusiano na mtoto wa under 18 sharifaa ,unataka upate brain concusion eeh!

Mkuu mi najua aliyekuletea hizo taarifa za kizushi, uwongo, umbeya na ukuda lazima atakuwa Dr.zero. huyo jamaa ni mnoko balaa.......................... nakanusha kuwa siyo kweli kwamba nina mahusiano na binti wa under 18!...................... pia siyo kweli kwamba sharifaa yupo under 18, yaani amenizidi miezi kazaa kiumri hahaaaaaaaa
Note:
Hizi kashfa asijesikia mke wangu kipenzi my Lily Flower! yaishie hapa hapa
 
Last edited by a moderator:
Baba V naleta hoja ya kupitishwa kwa ndoa za mkataba.

 
Last edited by a moderator:
Naomba Mungu wote wawe baba. Mmoja dna yake iwe masikio, mwingine pua, mwingine brains, mwingine shape aka makalio, mwingine maumbile. Kama vipi tupige kura dada?

Piga kura mwaya King'asti maana hawa wanaume zangu wanataka kunifanya ndafu wa shughuli.
Nataka kila mmoja atoke na kiungo chake,labda watapoa.
 
Last edited by a moderator:

Ondoa shaka my dia mi hata siendagi, nasikia tu story!!!!!!!
kama sahivi tu mapenzi ya kawaida upo hivo, nikienda huko je? si utaacha kazi ukae nyumbani kunihudumia mie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…