TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi


Huree! We missed you mwenyekiti. Nakuletea external hard disk ya terabyte 800 niliyo save yote yaliyotukia wakati haupo mkuu. Nipe muda kiduuchu
 
Last edited by a moderator:
Huree! We missed you mwenyekiti. Nakuletea external hard disk ya terabyte 800 niliyo save yote yaliyotukia wakati haupo mkuu. Nipe muda kiduuchu

Nakusubiri kwa hamu aisee, kuna watu hapa najua hawatakosekana humo. Nataka kujua maisha ya Mr Rocky kipindi niko selo
 
Last edited by a moderator:
Mpango wangu na Arabela ni matokeo ya ujirani mwema tuliouanzisha baada ya safari ya Tanga! Ni mpango mzuri utakaoleta "uwekezaji mkubwa" kwa maendeleo ya taifa. You dont have to worry!
Nahitaji kujua mustakabali wa underground movement yenu na Arabela
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…