...hivi, unamchukuliaje anayejitangaza ameachwa/amemuacha "mpenzi" wake?
Hii nimeipenda sana
Mhhhh! Mkuu Mbu labda anafurahia kuachana na kero za kila aina ndani ya ndoa yake na kuwa huru tena uhuru ambao ameukosa si ajabu kwa miaka mingi tu.
Just A Dream - Nelly | Music Video | VEVO
Wanasema kama niliolewa kwa mbwembwe ntaacha/achwa kwa mbwembwe!I personally wouldn't go as far as throwing a party but the occasion might be worth being happy about!Kama unaachana na mtu ambae alikua anakunyima raha kwa namna moja ama nyingine then utakua unapiga hatua kuelekea kwenye furaha binafsi..na hiyo hatua inastahili kabisa kufurahiwa!So although having a party for such an occasion might be a bit childish I wouldn't be very suprised!Kama mtu ana furaha acha aonyeshe anavyotaka!Mmmmmmh, lakini bora tu, kama hiyo ndo furaha ya huyo mtu anayefanya hivyo na afanye tu!!!
Hakuna Mungu anayependa mwingine aishi maisha ya utumwa kwa mwanadamu mwenzie!!!
Itakuja party ya kutolewa bikira au ya first sex with a new partiner, yaani dunia hamnazo inatisha
...sawa sawa, lakini yale makelele na matusi ya "...Mwanaume/Mwanamke gani wewe! ....!" nk... kiasi cha majirani kuzima redio kuwasikiliza vizuri, yanahusu nini? ... haiwezekani kuachana kimya kimya bila makeke na majigambo?
Ni kweli DIVORCE inamfurahisha mtu kiasi cha kujiskia kushangilia kwa nguvu zote, au "anajipaka mafuta kwa mgongo wa chupa?" asionekane loser?
...mbona yapo zamani haya bana? ...Kila jamii ina mila na desturi zake, tofauti kuiga tu!
Embu fikiria kama una watoto utafanya hiyo party mbele yao? nahisi wanaweza kukuchukia maisha yao yote na kuhisi wewe ndio chanzo cha kuvunja familia hata kama sio wewe mwenye matatizo. Nafikiri unapooana na mtu unategemea uishi nae milele, kwa hiyo ikitokea mmeachana lazima uwe dissapointed sana sidhani kama kuna cha kusherekea hapo