Tangazo! (?)

Tangazo! (?)

Maadili yanazidi kumomonyoka
Lakini kama wanandoa akili zenu zilikuwa haziwatoshi ndio mnaweza kufanya hivyo
 
nafikiri ni utoto zaidi na kuonyesha watu jinsi ujinga wako ulivo zaidi ya kichwa chako.
 
Good one Mbu

najua dada mmoja ambaye siko alidivorce na mmewe alifanya sherehe na misa ya kushukuru Mungu kutokana na manyayaso aliyokua anapata
 
Nadhani wakati sasa wa kufikiria nje ya box...this is free world u do what u desire as long as when doing your heart desire u dont infringe ur neighbors right. Kwa tamaduni zetu watanzania si kitu sahihi morally ila legally its right. Sasa cha kujiuliza ni kuwa ikatika jamii inayokuzunguka ni sahaihi kufanya hivyo na je kama si sahihi je unapata faida gani?
Mimi binafsi sioni tatizo kwa jamii hiyo maana nadhani hayo mambo yanafanyika mbele, Hata hivyo ikumbukwe pia ndoa ni mkataba kati ya watu wawili wanaopendana na ikifika wakati mapenzi yamekwisha basi ni vyema kuvunja mkataba huo na kila mtu kuangalia mbele zaidi. Kusheherekea ama kutosheherekea inategemea ni nani anayesheherekea. Na kwa hakika yako mengi ya kusheherekea kwanza kuachana na kifungo cha maisha ya kuishi na usiyempenda. kuwa na uhuru wa ama kuoa ama kuolewa tena, kufurahia kupata nusu ya mali mlizochuma wote, kuwa na wakati wa kufanya maamuzi binafsi na mengine mengi. Hakika hata mfungwa akitoka gerezani husheherekea
 
waalikwa ni wale wote walioudhiria cku ya harusi na wapya ambao awakufika kama mlioana hadharani mchana kweupe kwann muachane kmya kmya
 
Not if you being together was hurting them more than your being apart!!!Kuna watu wanatamani wazazi wao waachane na hua wanamlaumu mzazi mmoja kwakubaki kwenye ndoa yenye manyanyaso ambayo hata wao yamewaathiri.Mf mzuri hapa ni baba mkorofi anaegawa mkong'oto kwanzia kwa mama mpaka watoto bila sababu!!!

Yah Lizzy ndio maana nikasema unapoachana na mtu ambae ulidhani utaishi nae milele itakuuma sana unless otherwise ulikuwa wewe ndio chanzo kwa hiyo ulikuwa unasubiri tu muachane ili ukaanze maisha kwengine. kwa hiyo hata kwa baba mkorofi yes utaachana nae lakini mwanzo kabisa halikuwa lengo wala kusudio lako. utakaa mtulivu na kupanga upya maisha huku ukiangalia ulikotoka lakini sio kufanya party kama hivi.
 
mkuu moskwito.

niliwahi kushuhudia divorce moja ya mshkaji wangu iliniacha hoi. jamaa alimfuma partner wake na njemba kwenye mkahawa, mimi nikiwa kama shuhuda nilitegemea mabomu ya gongo la mboto yangelipuka lakini haikuwa hivyo. jamaa (aliefumania) alifurahi sana kwanza halaf akamwambia partner wake sentensi moja tu "thank god nimepata sababu ya kukuacha" na yule mdada na yeye akajibu kwa sentensi moja tu "thank god umetambua kwamba tunahitaji kuachana" mimi nikiwa nimeshangaa nikaona jamaa wanapeana baraka zote za divorce bila hata nyuso zao kuonekana kujali. baada ya kuondoka nikajaribu kumdadisi mshkaji wangu kuhusiana na nilichoshuhudia.........................

itaendelea post inayofata. stay tuned
 
...bado haijaniingia akilini kwanini mtu asherehekee kuacha/kuachwa.
Kwenye institutional ya ndoa natarajia kuachana ni ishara ya failure!
Hivi mtu aki fail!, anasherehekea kweli?...

Good one Mbu

najua dada mmoja ambaye siko alidivorce na mmewe alifanya sherehe na misa ya kushukuru Mungu kutokana na manyayaso aliyokua anapata

...haya sasa!

mkuu moskwito.

niliwahi kushuhudia divorce moja ya mshkaji wangu iliniacha hoi. jamaa alimfuma partner wake na njemba kwenye mkahawa, mimi nikiwa kama shuhuda nilitegemea mabomu ya gongo la mboto yangelipuka lakini haikuwa hivyo. jamaa (aliefumania) alifurahi sana kwanza halaf akamwambia partner wake sentensi moja tu "thank god nimepata sababu ya kukuacha" na yule mdada na yeye akajibu kwa sentensi moja tu "thank god umetambua kwamba tunahitaji kuachana" mimi nikiwa nimeshangaa nikaona jamaa wanapeana baraka zote za divorce bila hata nyuso zao kuonekana kujali. baada ya kuondoka nikajaribu kumdadisi mshkaji wangu kuhusiana na nilichoshuhudia.........................

itaendelea post inayofata. stay tuned

...see what am talking about?! Hizi ndoa hizi! Gademu!

Nionavyo mimi juu ya jambo hili ni kuwa kuna kitu kati yao (mvutano wa mapenzi wa kumkosa mwenza wako), hivyo kukupelekea kutokubaliana na Nafsi yako kuendelea kuishi nae pamoja kama Mke na Mume kutokana na madhila aliyokufanyia lakini ndani ya Roho bado unamuhitaji, na kukupelekea kufanya mambo ambayo yatakupa faraja na kuwaonyesha watu ya kuwa umuhitaji mweza wako

Wengi wao inawauma sana ndani ya Roho ingawa kwa muonekano wa nje huwa na furaha tele
 
Back
Top Bottom