FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Maadili yanazidi kumomonyoka
Lakini kama wanandoa akili zenu zilikuwa haziwatoshi ndio mnaweza kufanya hivyo
Lakini kama wanandoa akili zenu zilikuwa haziwatoshi ndio mnaweza kufanya hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not if you being together was hurting them more than your being apart!!!Kuna watu wanatamani wazazi wao waachane na hua wanamlaumu mzazi mmoja kwakubaki kwenye ndoa yenye manyanyaso ambayo hata wao yamewaathiri.Mf mzuri hapa ni baba mkorofi anaegawa mkong'oto kwanzia kwa mama mpaka watoto bila sababu!!!
Good one Mbu
najua dada mmoja ambaye siko alidivorce na mmewe alifanya sherehe na misa ya kushukuru Mungu kutokana na manyayaso aliyokua anapata
mkuu moskwito.
niliwahi kushuhudia divorce moja ya mshkaji wangu iliniacha hoi. jamaa alimfuma partner wake na njemba kwenye mkahawa, mimi nikiwa kama shuhuda nilitegemea mabomu ya gongo la mboto yangelipuka lakini haikuwa hivyo. jamaa (aliefumania) alifurahi sana kwanza halaf akamwambia partner wake sentensi moja tu "thank god nimepata sababu ya kukuacha" na yule mdada na yeye akajibu kwa sentensi moja tu "thank god umetambua kwamba tunahitaji kuachana" mimi nikiwa nimeshangaa nikaona jamaa wanapeana baraka zote za divorce bila hata nyuso zao kuonekana kujali. baada ya kuondoka nikajaribu kumdadisi mshkaji wangu kuhusiana na nilichoshuhudia.........................
itaendelea post inayofata. stay tuned
Big up Mpevuuuuuuuuuu. akili mwili mzima.Hizi ni nyongeza tu ya viashiria vya MWISHO WA DUNIA.