Buswelu JF-Expert Member Joined Aug 16, 2007 Posts 1,998 Reaction score 356 Oct 23, 2008 #1 CCM inakutangazia kozi zifuatazo. 1 Rushwa 2 Wiza wa kura 3 Ufisadi 4 Ubakaji wa uchumi 5 Urichmond 6 U-IPTL 7 Epa 8 Twin towers na ajira za kufahamiana BOT 9 Meremeta 10 Ununuzi wa mamluki wa kisiasa. Wahitimu wote watapatiwa Uwaziri au kuundiwa kurugenzi ikulu.Tupo mtaaa wa Mikataba feki au tembelea tovuti yetu. www.chukuachakomapema.usirushemawekamambeya.com Barua pepe ccmafisadi@kadiyako.com
CCM inakutangazia kozi zifuatazo. 1 Rushwa 2 Wiza wa kura 3 Ufisadi 4 Ubakaji wa uchumi 5 Urichmond 6 U-IPTL 7 Epa 8 Twin towers na ajira za kufahamiana BOT 9 Meremeta 10 Ununuzi wa mamluki wa kisiasa. Wahitimu wote watapatiwa Uwaziri au kuundiwa kurugenzi ikulu.Tupo mtaaa wa Mikataba feki au tembelea tovuti yetu. www.chukuachakomapema.usirushemawekamambeya.com Barua pepe ccmafisadi@kadiyako.com
Calnde JF-Expert Member Joined Oct 7, 2008 Posts 1,373 Reaction score 278 Oct 24, 2008 #2 Teh teh teh.We umeajiriwa?Kama vp anza wewe.