Tangazo

Tangazo

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
1,998
Reaction score
356
CCM inakutangazia kozi zifuatazo.

1 Rushwa
2 Wiza wa kura
3 Ufisadi
4 Ubakaji wa uchumi
5 Urichmond
6 U-IPTL
7 Epa
8 Twin towers na ajira za kufahamiana BOT
9 Meremeta
10 Ununuzi wa mamluki wa kisiasa.

Wahitimu wote watapatiwa Uwaziri au kuundiwa kurugenzi ikulu.Tupo mtaaa wa Mikataba feki au tembelea tovuti yetu.
www.chukuachakomapema.usirushemawekamambeya.com
Barua pepe ccmafisadi@kadiyako.com
 
Teh teh teh.We umeajiriwa?Kama vp anza wewe.
 
Back
Top Bottom