Heparin JF-Expert Member Joined Sep 24, 2021 Posts 242 Reaction score 1,141 Sep 24, 2021 #1 Tango ni tunda lenye utajiri mkubwa sana wa Silicon na Sulphur ambazo huhitajika kuboresha afya ya ngozi, kucha na nywele. Ni tunda ambalo halipaswi kukosa ndani kwa mtu yeyote anayependa urembo!
Tango ni tunda lenye utajiri mkubwa sana wa Silicon na Sulphur ambazo huhitajika kuboresha afya ya ngozi, kucha na nywele. Ni tunda ambalo halipaswi kukosa ndani kwa mtu yeyote anayependa urembo!
Kikapuu JF-Expert Member Joined Sep 14, 2021 Posts 1,122 Reaction score 1,629 Sep 24, 2021 #2 Hasa hasa wanawake