Tangu 1998 hamjaingia hatua ya makundi

emmadizzo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,340
Reaction score
1,445
Hamjambo wote..

Tangu mwaka 1998 umri wa mtu mzima mwenye familia yake klabu ya Yanga haikufika hatua ya makundi kwenye michuano ya Afrika.

Bila aibu ndo wao wanapiga kelele eti Simba wanaishia robo mfululizo bila kuhoji wao kwanini miaka yote walikuwa hawafiki hata io group stage achia robo yenyewe, ni aibu utopolo kujifananisha na Simba kimataifa..

Jumapili rivers anasawazisha zote na ikiwezekana anawapiga kabisa nipo hapa nawasubiri..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewachunguza akili zao mkuu?Ni wabee(wawili)tu!
 
Jiandae kushuhudia Wananchi wakitinga fainali na kubeba ndoo. Na nyinyi miaka yote mtaishia hapo hapo robo fainali. Maana hayo ndiyo mafanikio yenu pekee yaliyobakia.
 
Jiandae kushuhudia Wananchi wakitinga fainali na kubeba ndoo. Na nyinyi miaka yote mtaishia hapo hapo robo fainali. Maana hayo ndiyo mafanikio yenu pekee yaliyobakia.
Umemaliza yanga Ni bingwa wa kombe hili na SAS tutajeukiya championship watajuwa hawajui
 
Kuna mtu aliwahi kuwasikiliza mashabiki wa Yanga wakiongea akauliza, "hivi ningekuwa nashabikia Yanga ningekuwa sina akili kama hivi?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…