Tangu 2018 sijapata namba yangu ya NIDA. Shida ni nini?

Tangu 2018 sijapata namba yangu ya NIDA. Shida ni nini?

ERICKY_TZ255

Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
49
Reaction score
42
Jamani naombeni ushauli niache kufatilia namba yangu ya NIDA au nikaze moyo toka nimemaliza usajili mwaka 2018 mpaka leo namba yangu haijatoka, ivi shida huwa ni nini?
 
unacha kwenda ofisi za NIDA kuhoji sababu wewe unakuja JF kuhoji sababu? labda wewe ni mkimbizi.
 
Uliombea wapi? Ulirudi kuulizia kuna tatizo gani? Ulikamilisha matakwa yote ya kusajiliwa?
 
Tutajie Hapa Ulipojiandiisha
Mkoa , Wilaya, Tarafa, Kata, Kijiji, Mtaa, Nyumba Number
 
 
Back
Top Bottom