Tangu 2018 sijapata namba yangu ya NIDA. Shida ni nini?

Tangu 2018 sijapata namba yangu ya NIDA. Shida ni nini?

Ama kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa
Twende taratibu..
Unavyoenda kufuatilia wanakambia shida ni nini?

Kwa sababu Nida nyingi zipo serikali ya mtaa zaidi ya two years watu hawaendi kuchukua.

Online pia hakuna details zako?

Weka wazi kila kitu tukusaidie
 
Rudi tena kusoma nime edit
Ok ipo hivi jamaa anasema tangu mwaka 2018 hajapata namba ya nida yaani kafata process zote lakini namba hakupata mpaka hivi leo je shida ni nini.Halafu sio yeye peke yake hata mimi pia ni muhanga kama yeye
 
Eh

Ova
 
Mfumo mpya haujatangazwa kwa wale ambao hamjapata namba za nida na picha mlipigwa
Wewe ulijiandisha zamani na kama mfumo mpya haujatangazwa Ina maana wanatumia mfumo wa zamani sasa mfumo mpya unauhusiana vipi na ww kupata hiyo namba?
 
Back
Top Bottom