Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Twende taratibu..Ama kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa
Sawa nakusikiliza mkuuTwende taratibu..
Rudi tena kusoma nime editSawa nakusikiliza mkuu
Ok ipo hivi jamaa anasema tangu mwaka 2018 hajapata namba ya nida yaani kafata process zote lakini namba hakupata mpaka hivi leo je shida ni nini.Halafu sio yeye peke yake hata mimi pia ni muhanga kama yeyeRudi tena kusoma nime edit
EhOk ipo hivi jamaa anasema tangu mwaka 2018 hajapata namba ya nida yaani kafata process zote lakini namba hakupata mpaka hivi leo je shida ni nini.Halafu sio yeye peke yake hata mimi pia ni muhanga kama yeye
Ofisini tushaenda sana lakini bado wanasema mfumo mpya haujatangazwaFika ofisini
Wakakupa taarifa Gani?Nimeenda mala za kutosha
Mfumo mpya haujatangazwa kwa wale ambao hamjapata namba za nida na picha mlipigwaWakakupa taarifa Gani?
Wewe ulijiandisha zamani na kama mfumo mpya haujatangazwa Ina maana wanatumia mfumo wa zamani sasa mfumo mpya unauhusiana vipi na ww kupata hiyo namba?Mfumo mpya haujatangazwa kwa wale ambao hamjapata namba za nida na picha mlipigwa