Tangu aachie Komasava, msanii wenu kapotea kabisa. Ngoma zake 3 za mwisho zote zimebuma. Shida itakuwa nini?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono?

Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa.

Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma.

Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki utakuwa umeanza kumtupa mkono.

IMG_0574.jpeg
 
Katika hizo alizotoa Holiday ndo kali nyengine wahuni wamezikataa
 
Hizi kauli zilianza kuongelewa for the past ten years and still the guy is 🔥 and making 'em dough 💵.

Tangu atoe Kamwambie 2010 ni lini uliona Diamond ametoa ngoma 4 straight na zote hazikufanya vizuri?

Kuna ubaya gani kuuliza maswali?
 
Wakuu,

Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono?

Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa.

Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma.

Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki utakuwa umeanza kumtupa mkono.

View attachment 3250649
Nifanyaje ni hit ila Local,Current ndio nyimbo inayo fanya vizuri kwa sasa. Halafu hayupo msanii anayetoa kila ngoma hiti,msanii hata akitoa hit moja kwa mwaka inatosha.Hao wakina Davido,Burna,Wizkid nk nikuambia mara ya mwisho kutoa hit ushasahau.

Kuhusu kumtabiria jamaa kushuka bado saba wenzako humu JF walianza kutabiri tokea 2010, ila mwamba yupo,kwa kifupi jamaa anajua anachotaka ndio maana hapotei.
 
Wakuu,

Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono?

Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa.

Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma.

Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki utakuwa umeanza kumtupa mkono.

View attachment 3250649
Hizo alitoa kwa kujifurahisha tu.
Subiri baada ya Ramadhan uone global hits kama zote
 
Wakuu,

Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono?

Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa.

Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma.

Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki utakuwa umeanza kumtupa mkono.

View attachment 3250649
Kwa mujibu wa sio chawa ama chawa wake hakushahili hata kufika alikofika kwa kazi chafu zenye ufinyu wa maadili ya kitanzania.
 
Nifanyaje ni hit ila Local,Current ndio nyimbo inayo fanya vizuri kwa sasa. Halafu hayupo msanii anayetoa kila ngoma hiti,msanii hata akitoa hit moja kwa mwaka inatosha.Hao wakina Davido,Burna,Wizkid nk nikuambia mara ya mwisho kutoa hit ushasahau.

Kuhusu kumtabiria jamaa kushuka bado saba wenzako humu JF walianza kutabiri tokea 2010, ila mwamba yupo.

Sijamtabiria kushuka. Nimeuliza ili nijue nini kitakuwa kimemsibu msanii wetu.

Hao kina Davido na Wizkid hawako relevant kwenye discussion hii.

Soko la Tanzania na Nigeria ni masoko mawili tofauti.

Swali: Tangu aanze muziki mwaka 2010 ni lini ushawahi ona Diamond ametoa hits nne na zote zisifanye vizuri mkuu
 
Nitafanyeje haijafanya vizuri? Okay wewe nyimbo kutokufanya vizuri una quantify kwa kutumia vigezo gani.

Kwangu airtime,kwenye digital platforms zote nk,ukiangalia Nitafanyaje imefanya vizuri Local kuliko nyimbo yoyote.Ndio maana nikasema Locally nitafanyeje inafanya vizuri.

Halafu mimi sijazungumzia masoko wewe si umezungumzia msanii kutoa hit song?Ndio maana nimekuuliza mara mwisho wasanii Davido,Burna na Wizkid wametoa hit song lini.

Hebu nipe vigezo vyako ya nyimbo kufanya vizuri.
 
Back
Top Bottom