Hizi kauli zilianza kuongelewa for the past ten years and still the guy is 🔥 and making 'em dough 💵.
Nifanyaje ni hit ila Local,Current ndio nyimbo inayo fanya vizuri kwa sasa. Halafu hayupo msanii anayetoa kila ngoma hiti,msanii hata akitoa hit moja kwa mwaka inatosha.Hao wakina Davido,Burna,Wizkid nk nikuambia mara ya mwisho kutoa hit ushasahau.Wakuu,
Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono?
Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa.
Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma.
Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki utakuwa umeanza kumtupa mkono.
View attachment 3250649
Hizo alitoa kwa kujifurahisha tu.Wakuu,
Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono?
Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa.
Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma.
Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki utakuwa umeanza kumtupa mkono.
View attachment 3250649
Kwa mujibu wa sio chawa ama chawa wake hakushahili hata kufika alikofika kwa kazi chafu zenye ufinyu wa maadili ya kitanzania.Wakuu,
Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono?
Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa.
Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma.
Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki utakuwa umeanza kumtupa mkono.
View attachment 3250649
Nani beto ama chichi?Anaomboleza mama mtoto kaolewa.
Tayari au?
Ni masikitiko,mzozo,kazezee kizaazaa!Ngoja nibashiri.Nani beto ama chichi?
Filimazon!Tayari au?
Nifanyaje ni hit ila Local,Current ndio nyimbo inayo fanya vizuri kwa sasa. Halafu hayupo msanii anayetoa kila ngoma hiti,msanii hata akitoa hit moja kwa mwaka inatosha.Hao wakina Davido,Burna,Wizkid nk nikuambia mara ya mwisho kutoa hit ushasahau.
Kuhusu kumtabiria jamaa kushuka bado saba wenzako humu JF walianza kutabiri tokea 2010, ila mwamba yupo.
Nitafanyeje haijafanya vizuri? Okay wewe nyimbo kutokufanya vizuri una quantify kwa kutumia vigezo gani.Sijamtabiria kushuka. Nimeuliza ili nijue nini kitakuwa kimemsibu msanii wetu.
Hao kina Davido na Wizkid hawako relevant kwenye discussion hii.
Soko la Tanzania na Nigeria ni masoko mawili tofauti.
Swali: Tangu aanze muziki mwaka 2010 ni lini ushawahi ona Diamond ametoa hits nne na zote zisifanye vizuri mkuu