Tangu Ahmed Ally aje Msimbazi timu yetu haijawahi kuifunga timu ya Yanga

Malengo ya Simba hayajawahi kuwa kuifunga yanga ndio yamefikiwa. Tuna target kubwa zaidi. Nyie mmeshatimiza Lengo kuu lenu la kuifunga Simba msimu huu, hayo mengine ni ziada tu.
Simba hii ninayoifahamu au Simba gani? Hiihii iliyobandua logo ya sportpesa kwenye jezi na kubandika za m-bet?
 
Mishabiki ya Makolo imekaa "Ki-malaya malaya".
 
NA WEWE UTO SIKILIZA.
Mtu wa kwanza kutunikiwa cheti cha shahada ya kwanza alitunukiwa na mtu ambaye hakuhitimu hiyo shahada. Mtihani wake ulitungwa na kusahihishwa na mtu ambaye hakuhitimu shahada husika. Hapo unasemaje boss
 
Duh! hapo sina cha kusema mkuu!
Yaani mbumbumbu kamtunuku shahada mbumbumbu mwenzake😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…