Tangu akamatwe Scorpion, Mshana Jr hajaonekana JF

Tangu akamatwe Scorpion, Mshana Jr hajaonekana JF

Wandugu kati ya watu ninaowakubali Jf, Mshana Jr ni namba Moja. Si kawaida kukaa nusu saa bila kukuta walao comment yenye Busara ya huyu member mwenzetu.
Kwakuwa nimekosa vitu vyake adimu Kule Jamii Intelligence na Jamii Photo, nikaamua niangalie profile yake na kushtushwa kukuta" Mshana Jr was last seen: Saturday at 09:33 Am."
Hili jambo si la kawaida kwa Nguli huyu wa Jf,
Naomba kujuzwa kwa wale wajuani wake, vipi ana uhusiano wowote na Scorpion au yeye ndiye Scorpion mana tulio wengi humu tunatumia ID fake. NIMEMISS BUSARA NA MAWAZO YAKE KWA SIKU NNE SASA.
Mwenye ile link iliopost picha za scorpion hakucjangia? [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Kuna uvumi wa uswazi unadai kuwa bwana NGE alikuwa anaandaa muvi kisha akaenda kwa mganga akamwambia ukitaka kuwa kama Kanumba inabidi uje na macho ya watu kadha.Ni lisemwalo hilo baadhi ya maeneo ya uswahilini.
Umeliripoti hili police??
 
Labda ameitwa na maalim Seif Sharif Hamad si unajua ni cuf original, yeye na Propesa li pumba ni kama urusi na marekani
 
Back
Top Bottom