chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh!!CUF+Buguruni huenda ikawa ni sawa na Nge+Buguruni[emoji2].Nge nye alikuwa mfuasi.Labda ameitwa na maalim Seif Sharif Hamad si unajua ni cuf original, yeye na Propesa li pumba ni kama urusi na marekani
Hana bando impacts za Magu..!
Simu ya laini 6 ikoje?Rungu la TCRA limemkuta na ile simu yake ya laini 6.
FafanuaWandugu,
Kati ya watu ninaowakubali JF, Mshana Jr ni namba moja. Si kawaida kukaa nusu saa bila kukuta walao comment yenye busara ya huyu member mwenzetu.
Kwakuwa nimekosa vitu vyake adimu kule Jamii Intelligence na Jamii Photo, nikaamua niangalie profile yake na kushtushwa kukuta" Mshana Jr was last seen: Saturday at 09:33 Am."Hili jambo si la kawaida kwa nguli huyu wa JF.
Naomba kujuzwa kwa wale wamjuaye, vipi ana uhusiano wowote na Scorpion au yeye ndiye Scorpion mana tulio wengi humu tunatumia ID fake.
NIMEMISS BUSARA NA MAWAZO YAKE KWA SIKU NNE SASA.