Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Wasiojulikana? Inakuwaje taifa linakuwa na watu wasiojulikana?
Tangu afariki Mzee Kibao kwa kifo ambacho kilishangaza dunia kwa mtu kunyakuliwa kama kuku kwenye basi kisha kupatikana amekufa kinyama taifa letu limegawanyika na kupasuka.
Leo hii watu wanashangilia hadharani kwenye majukwaa ya kijamii pale anapokura kiongozi wa CCM
Amefariki Seleman Bungala hakuna aliyeshangilia.
Ila akifariki kiongozi wa CCM wananchi wanashangilia.
Online platforms ndio maisha halisi ya watanzania na ndunia nzima. Ndio uhalisia wa maisha.
Yote haya yalianza pale Mzee Ali Kibao alipopatikana amekufa kwa kifo chenye utata.
Alafu mkuu wa nchi akatoa tamko kuwa Kifo ni kifo tu.