Kwa maelezo haya yamenifanya nigoogle types of stroke nimegundua 87% ya stroke ni ya Ischemic(clots). Umesema unaweza kugundua pia kwa historia ya mgonjwa na hapa nakumbuka kauli ya Dr. flani nilimhoji kuhusu recovery ya mzee. Alisema wapo ambao wanarecover within a short time, wengine they don't recover kabisa kulingana na aina ya stroke, akanambia sifikirii kuwa stroke ya mzee ni hemorrhagic (nadhani hii ni mbaya kuliko). Sasa mkuu nisaidie hapo pa KUKISIA KUTOKANA NA HISTORIA YA MGONJWA.Haya yote unayajua kwa kufanya CT-Scan japo unaweza kukisia kwa kutumia historia ya mgonjwa e.g historia ya BP inaweza kukupa clue!
Kwa maelezo haya yamenifanya nigoogle types of stroke nimegundua 87% ya stroke ni ya Ischemic(clots). Umesema unaweza kugundua pia kwa historia ya mgonjwa na hapa nakumbuka kauli ya Dr. flani nilimhoji kuhusu recovery ya mzee. Alisema wapo ambao wanarecover within a short time, wengine they don't recover kabisa kulingana na aina ya stroke, akanambia sifikirii kuwa stroke ya mzee ni hemorrhagic (nadhani hii ni mbaya kuliko). Sasa mkuu nisaidie hapo pa KUKISIA KUTOKANA NA HISTORIA YA MGONJWA.
Alitibiwa hospital gani bila CT scan?Asante kwa majibu mazuri mkuu
Mzee hatumii dawa nyingine nje ya zile za BP akina Captopril, bendro na zingine. Labda kama ana kesi mpya ikiripotiwa kwa dokta siku za clinic anaweza pewa za maumivu nk. Zipo za kuchua ambazo huwa tunanunua toka kwa wataalamu kama dawa za kisuna etc. Pia CT scan hajawahii fanyiwa. Hivyo hatujui kama anatatizo jingine zaidi ya hili la sasa.
Alifanya CT scan?
Nje ya dawa za pressure anatumia dawa nyingine?
Hana tatizo jingine la moyo nje ya Hypertension?
Nachojaribu kuuliza anatibiwa kama mgonjwa wa damu ilovilia kwenye ubongo au anatibiwa kama mgonjwa wa ubongo ulokosa Oxygen?
All in All kikubwa katika stroke nikuhakikisha mgonjwa anafanya Physiotherapy,Kama yuko bedridden ni kuhakikisha mnamgeuza geuza asijepata Pressure sores ambazo zitafanya watu wam neglect.
Hakikisha anazingatia matibabu maana unaweza pata Second Stroke.
Kikubwa zaidi kinachowaua hao watu wa stroke ni Kupaliwa chakula hivo kuweni makini anapolishwa.
Unaweza angaika sijui kutumia madawa ya kienyeji na Blah Blah nyingi ila ukielewa sayansi juu ya ugonjwa huo hautathubutu hata kupoteza mda na hizo dawa za kienyeji ambazo nyingi ni za kubahatisha!
Tunaweza kutembea kunyosha mikono sababu kuna Sehemu ya Ubongo inatu control kufanya hivo...Kwa wagonjwa wa Stroke sehemu hizo zinakua zimekufa kwa kukosa oxygen au kwa kuvilia damu eneo hilo!
Recovery itategemea na extent ya cells za ubongo zilizokufa na kama zimekufa zimekufa tu...Hamna Reversal!
Principle ya Stroke ndani ya mwaka mmoja ni kwamba
1)Theluthi Moja watakufa
2)Theluthi nyingine wanakua vilema na wanaitaji msaada/Tegemezi
3)Theluthi ya mwisho wanaweza ku regain na kuwa wakujitegemea kwa kila kitu.
Endelea kukazania matibabu ya hospitali ili mzee awe kwenye hiyo theluthi ya #3.
Na kawe ambassador kwa wale wagonjwa wa pressure wanaokutwa na Pressure wakafanya mzaa na matibabu ya Hospitali ya kumeza dawa mpaka umauti wao maana siku yaja!
Mwisho kabisa ujibu maswali yangu mawili nilokuuliza mwanzo wa post hii ili nipate kuongeza nyongeza yangu ambayo itamsaidia mzee katika recovery!
Jamaa amenpa mwanga sana, amenijuza mengi sana siyo mtu wa kumbeza. Ametumia muda wake mwingi mkuu kunielewesha.Kama brain cells “zikifa zimekufa tu” akizingatia madawa ya hospitali “ili aingie kundi #3” itasaidia?
Nimeanza kuelewa kwa nini watu huwa wanalazimika kwenda kutafuta matibabu nje, as cripplingly expensive as it is. Maelezo ya madaktari wetu huwa ni hafifu hafifu tu yanakuacha njia panda.
“Kikubwa cha kuzingatia ni physiotherapy... kikubwa zaidi kinachowaua ni kupaliwa... Hakikisha unazingatia matibabu maana unaweza kupata second stroke... kama brain cells zimekufa zimekufa tu”!
Kwa hiyo hao wanaokufa, 1/3 ya wagonjwa, wanakufa kwa kupaliwa na chakula! Basi huu sio ugonjwa hatari kihivyo!
Jamaa amenpa mwanga sana, amenijuza mengi sana siyo mtu wa kumbeza. Ametumia muda wake mwingi mkuu kunielewesha.