Subiri tarehe 16/09 mtaeleza kama mmemaliza vyote au laahYaani hawa utopolo hawana cha ajabu hata, ukute wanasubiri kwenda kuitikia salamu za mama ndo wanachoweza
Mtaani kumepoa sana leo, ila wasijipe moyo kutushtua Mnyama ni mnyama
Wanyama tulimaliza kila kitu hatujawaachia nafasi hata moja