Tangu asubuhi sijaona cha kushangaza kwa hawa Utopolo

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Yaani hawa utopolo hawana cha ajabu hata, ukute wanasubiri kwenda kuitikia salamu za mama ndo wanachoweza
Mtaani kumepoa sana leo, ila wasijipe moyo kutushtua Mnyama ni mnyama
Wanyama tulimaliza kila kitu hatujawaachia nafasi hata moja
​
 
Subiri tarehe 16/09 mtaeleza kama mmemaliza vyote au laah
 
Mara ya mwisho tulimkojoza my wetu viwili ila bado ana Xtreme nyege Sasa safari hii tutakupakia mkongo tu.
 
Vp jayrutty kawaletea mchezaji chaguo la mashabiki? Kibaya zaid feisal karamba mkataba hadi 2027
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…