Tangu CCM iasisiwe mwaka 1977 sijawahi kuona nafasi ya Mwenyekiti taifa ikigombewa na watu wawili au zaidi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti.

Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati Mkapa then mzee Kikwete kisha hayati Magufuli wote hawa hawajawahi kushindanishwa na yoyote.

Tusilete figisu kwa mama Tafadhali.

Kazi Iendelee
 
Wakiweka watu wawili hiyo ndio demokrasia...WATAKUWA WAMEFANYA JAMBO JEMA...DUNIA YA SASA HAKUNA KURA YA NDIO AU HAPANA..WAACHE UOGA
 
Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti.

Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati Mkapa then mzee Kikwete kisha hayati Magufuli wote hawa hawajawahi kushindanishwa na yoyote.

Tusilete figisu kwa mama Tafadhali.

Kazi Iendelee
Nyerere alipong'atuka urais na Mwinyi akachukua madaraka, Nyerere aliendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM kwa miaka miwili. Mkutano wa Chama uliofuata uliamua Mwenyekiti wa Chama na Rais wa nchi awe mtu mmoja kuepusha uwezekano wa mgongano wa sera. Kwa hiyo, kama Rais wa Tanzania anatoka CCM, moja kwa moja ndiye atakuwa Mwenyekiti wa CCM. Ndiyo maana CCM hawafanyi uchaguzi wa Mwenyekiti. Wanafanya hafla tu ya kumkabidhi uenyekiti wa Chama Rais aliyepo madarakani. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Mwinyi kumrithi Nyerere; Mkapa kumrithi Mwinyi; Kikwete kumrithi Mkapa; Magufuli kumrithi Kikwete; na Mama Suluhu kumrithi Magufuli. Hakuna uchaguzi wa mwenyekiti unaofanyika katika kurithiana huko. Kama Rais wa nchi atatoka chama kingine, hapo ndipo CCM watafanya uchaguzi wa Mwenyekiti mpya. Rais Magufuli alipofariki, Katiba ya Nchi inafafanua Rais wa kumrithi apatikanaje. CCM hawakuwa na uchaguzi wa kufanya kwa kuwa Katiba yao inasema atakayekuwa Rais ndiye awe Mwenyekiti.
 
Vuta kumbukumbu vizuri. Nyerere aligombea tena 1987.
1991 ndio aliachia Uenyekiti wakati alipo anzisha mchakato wa kutaka maoni kama Watanzania wakubali mfumo wa vyama vingi au waendelee na mfumo wa chama kimoja.
 
Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti.

Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati Mkapa then mzee Kikwete kisha hayati Magufuli wote hawa hawajawahi kushindanishwa na yoyote.

Tusilete figisu kwa mama Tafadhali.

Kazi Iendelee
Naweza kuwa sikubaliani na Mama kwa baadhi ya mambo, lakini napigania kanuni, taratibu na maelekezo ya Chama lazima yazingatiwe. Rais kutoka CCM ndio anakuwa Mwenyekiti wa CCM Taiga. Period!
 
Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti.

Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati Mkapa then mzee Kikwete kisha hayati Magufuli wote hawa hawajawahi kushindanishwa na yoyote.

Tusilete figisu kwa mama Tafadhali.

Kazi Iendelee
Jo kazindukaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom