johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata kuweka mgombea " pekee " nayo ni demokrasia!Wakiweka watu wawili hiyo ndio demokrasia...WATAKUWA WAMEFANYA JAMBO JEMA...DUNIA YA SASA HAKUNA KURA YA NDIO AU HAPANA..WAACHE UOGA
Mgaya anaamini bado tuko kwenye chama kimoja!Mzee Mgaya ana maoni gani kwenye hili ???
Nyerere alipong'atuka urais na Mwinyi akachukua madaraka, Nyerere aliendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM kwa miaka miwili. Mkutano wa Chama uliofuata uliamua Mwenyekiti wa Chama na Rais wa nchi awe mtu mmoja kuepusha uwezekano wa mgongano wa sera. Kwa hiyo, kama Rais wa Tanzania anatoka CCM, moja kwa moja ndiye atakuwa Mwenyekiti wa CCM. Ndiyo maana CCM hawafanyi uchaguzi wa Mwenyekiti. Wanafanya hafla tu ya kumkabidhi uenyekiti wa Chama Rais aliyepo madarakani. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Mwinyi kumrithi Nyerere; Mkapa kumrithi Mwinyi; Kikwete kumrithi Mkapa; Magufuli kumrithi Kikwete; na Mama Suluhu kumrithi Magufuli. Hakuna uchaguzi wa mwenyekiti unaofanyika katika kurithiana huko. Kama Rais wa nchi atatoka chama kingine, hapo ndipo CCM watafanya uchaguzi wa Mwenyekiti mpya. Rais Magufuli alipofariki, Katiba ya Nchi inafafanua Rais wa kumrithi apatikanaje. CCM hawakuwa na uchaguzi wa kufanya kwa kuwa Katiba yao inasema atakayekuwa Rais ndiye awe Mwenyekiti.Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti.
Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati Mkapa then mzee Kikwete kisha hayati Magufuli wote hawa hawajawahi kushindanishwa na yoyote.
Tusilete figisu kwa mama Tafadhali.
Kazi Iendelee
Sawasawa,maana zaman ilikuwa mtu na kivuli chake ndio vinapigiwa kura[emoji16]Hata kuweka mgombea " pekee " nayo ni demokrasia!
Hahahaaaa.......!Sawasawa,maana zaman ilikuwa mtu na kivuli chake ndio vinapigiwa kura[emoji16]
Vuta kumbukumbu vizuri. Nyerere aligombea tena 1987.Nyerere alipong'atuka urais na Mwinyi akachukua madaraka, Nyerere aliendelea kuwa Mwenyekiti wa CCM kwa miaka miwili. Mkutano wa Chama uliofuata uliamua Mwenyekiti wa Chama na Rais wa nchi awe mtu mmoja kuepusha uwezekano wa mgongano wa sera. Kwa hiyo, kama Rais wa Tanzania anatoka CCM, moja kwa moja ndiye atakuwa Mwenyekiti wa CCM. Ndiyo maana CCM hawafanyi uchaguzi wa Mwenyekiti. Wanafanya hafla tu ya kumkabidhi uenyekiti wa Chama Rais aliyepo madarakani. Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Mwinyi kumrithi Nyerere; Mkapa kumrithi Mwinyi; Kikwete kumrithi Mkapa; Magufuli kumrithi Kikwete; na Mama Suluhu kumrithi Magufuli. Hakuna uchaguzi wa mwenyekiti unaofanyika katika kurithiana huko. Kama Rais wa nchi atatoka chama kingine, hapo ndipo CCM watafanya uchaguzi wa Mwenyekiti mpya. Rais Magufuli alipofariki, Katiba ya Nchi inafafanua Rais wa kumrithi apatikanaje. CCM hawakuwa na uchaguzi wa kufanya kwa kuwa Katiba yao inasema atakayekuwa Rais ndiye awe Mwenyekiti.
Naweza kuwa sikubaliani na Mama kwa baadhi ya mambo, lakini napigania kanuni, taratibu na maelekezo ya Chama lazima yazingatiwe. Rais kutoka CCM ndio anakuwa Mwenyekiti wa CCM Taiga. Period!Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti.
Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati Mkapa then mzee Kikwete kisha hayati Magufuli wote hawa hawajawahi kushindanishwa na yoyote.
Tusilete figisu kwa mama Tafadhali.
Kazi Iendelee
Jo kazindukaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najaribu kuweka kumbukumbu sawa kwa sababu kuna watu wanadhani ni rahisi sana kuweka wagombea zaidi ya mmoja kwa nafasi ya mwenyekiti.
Alianza hayati Nyerere, akaja mzee Mwinyi, akaja hayati Mkapa then mzee Kikwete kisha hayati Magufuli wote hawa hawajawahi kushindanishwa na yoyote.
Tusilete figisu kwa mama Tafadhali.
Kazi Iendelee