Tangu CCM iingie madarakani Daraja la Busisi ndio KITU Kipya walichothubutu nje ya Box

Tangu CCM iingie madarakani Daraja la Busisi ndio KITU Kipya walichothubutu nje ya Box

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Mambo mengine ni ya kawaida, hata kama nchi ingekuwa chini ya wakina mkwawa au mtemi Myugumba wangefanya.

Siku nasikia hicho KITU nilibisha nikaona ni uongo, ule ni umbali mkubwa. Hii ndio ishara pekee ya ukubwa wa akili ya thinkers wa CCM.

Changamoto maengineer sidhani kama wametukumbuka Wasukumba ambao tunapenda kutembea KWA miguu na kuendesha Baiskeli. Sijui kama tuna uchochoro wetu kwenye Daraja.

Hongereni CCM,
Hapa hata ukijiambia ni KITU gani cha ajabu Chama Tawala kimefanya ni Daraja la Busisi.
 
Sema magufuri aligikilia nje ya Box lakini CCM wenzake ndabi ya Chama na seeikali walipinga wakaishia kusema anajioendelea
 
Sema magufuri aligikilia nje ya Box lakini CCM wenzake ndabi ya Chama na seeikali walipinga wakaishia kusema anajioendelea
Ile Mzee ni nje ya Box. Lile Daraja kama huwa hupiti huko unaweza ukaona ni KITU cha kawaida.

Mimi Kuna siku nilisafiri KWA kupanda bus la Msukuma mbunge Mzee safari ya masaa sita nilitumia siku nzima. Tena anapitishia bus lake kwenye feri ya kamanga ambayo ukiikosa tu Hadi irudi tena ni zaidi ya saa moja.

Hili Daraja ni KITU kikubwa sana
 
Mimi siipi hongera ccm...Nampa hongera mwamba jpm huko aliko...jpm angekua hai nadhan saivi nawaza tu sijui Tanzania ingekuwaje kwenye project kubwa kama hizi ....
 
Bila ya JPM kusingekuwa na vingi vipya.

Ingekuwa tupo na tulie nae toka 2015, hakika hii nchi ingekuwa mithili ya Zimbabwe.

Kama ilivyo baadhi ta watu kuwa na uwezo wa kutengeneza basi kuna wale wenye uwezo wa kutukuka wa kuharibu.
 
Mbegu aliyoipanda JPM ipo siku itachipuka tu.

Hawa wala urojo wataondoka tu
 
Back
Top Bottom