Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Ajichome sindano ya VVU kwani yeye hajipendi!yeye mwenyewe anashabikia articles mbalimbali anazo soma kwenye mitandao
....Not everything you read on the internet is true.
 
Huyu jamaa kwa muda mrefu amekuwa akieleza kuwa hakuna UKIMWI wala HIV bali ni hoax flani hivi iliyoanzishwa na watu ilikupiga hela. Kwa maana wauze ARV ila hakuna cha UKIMWI wala nini.

Hamaanishi kuwa ukimwi umetengenezwa ili wauze dawa bali hakuna hata huo ugonjwa.

Mimi huwa ninachojiulizaga ''ni kweli huyu jamaa yuko tayari kuchukua damu ya mtu ambaye sisi tunaamini ana HIV na viral load ya kutosha tumchome yeye Deception au tumchukue mdada mwenye ngoma halafu apige bila condom?''

kwa kweli mimi simuamini,wenzangu nyie vipi?

Wewe una matatizo,tena matatizo makubwa sana,wapi nimesema hakuna ukimwi?Hebu tafuta post hata moja niliyosema kwamba hakuna ukimwi halafu ubandike hapa ili wanaokusoma wakuelewe unachomaanisha.

Sasa kama haya mambo madogo sana unashindwa kuyaelewa,itakuwa yale makubwa ya kufikirisha?Eti deception anasema hakuna ukimwi...sasa waoneshe watu wapi nimesema hivyo.Usipoweza kuwaonesha watu wapi nimesema hivyo jihukumu mwenyewe wewe ni mtu wa aina gani.

Halafu kama ikitokea watu wote humu hawaamini ndio itakuwaje sasa kwa unavyofikiri wewe?Kwa hiyo kwa mfano watu dunia nzima wakisema hatuamini kama kuna jua,basi ndio kweli hakuna jua,au vipi?

Miaka ya 1600 Galileo alisema dunia inazunguka jua,lakini watu wote kipindi kile hawakumwamini...kwahiyo ni kweli dunia haizunguki jua kwakua wengi hawakumwamini?

Huoni kwamba kuelewa ni suala la uwezo wa mtu binafsi?Ndio maana darasani kuna wa kwanza na wa mwisho.

NB:
Hata kama wote humu watasema hawaniamini,ndio inakuaje sasa?Kama wote humu ni wajinga na wavivu wa kufikiri sasa mimi nitawasaidiaje?Ninachokiweza ni kutoa elimu kwenu,kama hamtaki kuelewa au hamwelewi sina uwezo wa kuwalazimisha kwakua kila mtu ana uhuru wake...kwani ni lazima kuwaokoa watu wote?Lazima wapo watakaopotea,sasa hilo si kosa langu.

Hapa hatuangalii IMANI,hii ni sayansi bwana...kama huelewi hilo tatizo lako binafsi....mtu unashindwa kutofautisha hata HIV na ukimwi mambo ambayo ni very basic..kwenye ukimwi unasema HIV kwenye HIV unasema ukimwi....sasa wewe unafikiri nitakusaidiaje...hicho ni kilema kikubwa sana.
 
vipi kuhusu kuchangwa damu ya mtu mwenye HIV/AIDS? uko tayari?
 
Ajichome sindano ya VVU kwani yeye hajipendi!yeye mwenyewe anashabikia articles mbalimbali anazo soma kwenye mitandao
....Not everything you read on the internet is true.
amekuja kunijibu kwa maelezo fulani,ila swali la msingi la kuchomwa sindano ya damu ya mtu mwenye HIV/AIDS kalikaushia, Nimemkumbusha.
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Mimi namuamini Deception na namuelewa, hakuna sehem aliyosema hakuna ukimwi ila anasema UKIMWI hausababishwi na HIV, Kama hukuelewa hilo basi huna haja ya kumjadili mtu ambae hujamuelewa
 
Endeleeni Kuota tu Na Ndoto Zenu Za Mchana Lakini Hapa Hamumshawishi Mtu Kukubaliana Na Mtazamo Wenu! Kila Siku Tunawazika Kwa Ngoma Wakaidi Kama Nyinyi.
Keep Dreaming boys.....

Namkubali sana DECEPTION na kumuelewa siyo kwenye ukimwi tu mpaka kwenye cancer.
 
Virusi vya HIV vipo kabisa.

Deception huwa anasema virusi vya HIV havipo kwa sababu havionekani ambapo sio kweli.

Kirusi cha HIV kinaonekana ukitumia electron microscope. Hiki kirusi ni kidogo mno, mara 60 zaidi kwa udogo ukilinganisha na red blood cell.

Deception huwa anasema kwa sababu vile vipimo vya HIV kama SD bioline huwa haviangalii kirusi kwa hivyo virusi havipo.

Lakini anasahau hata malaria sasa hivi wanapima kupitia MRDT ikireact maana yake una malaria na sio lazima uone vijidudu vyenyewe.

Vipimo vingi Africa vimefanywa kuwa simple ili hata watu vijijini wapate access na vipimo kwani kuna sehemu hamna Umeme.

Sijui deception amesomea fani gani ila hana evidence wala research yoyote. Mara nyingi ana base kwenye you tube.

Ni kweli kwamba HIV virus Ina usiri mwingi sana. Kuanzia chimbuko lake na kama ni vya kutengeneza. Lakini hii haiondoi kwamba virusi vipo.

Kumwambia kijana ambaye hana exposure kwamba HIV ni fake ni kupoteza vijana wetu kwa kuwaruhusu kufanya ngono zembe.
 
vipi kuhusu kuchangwa damu ya mtu mwenye HIV/AIDS? uko tayari?

Halafu nikikwambia niko tayari...ndio nini inakuwaje sasa?Wewe unafaidika nini nikisema niko tayari?Swali hilo litakusaidia nini kuelewa suala hili?

Haya niko tayari,na nimeshakuwa tayari na nilishawahi kufanya hivyo na hadi sasa hivyo vipimo vyenu vinaonesha mimi ni HIV-.Unaamini?Kama huamini haya ndio unachukua hatua gani sasa,na kama unaamini suala hili nililofanya linaashiria nini kwako?

Kama unajua kiingereza vizuri,msikilize huyu daktari kwenye hii video,maana ninyi mnafikiri watu wanaopinga jambo hili ni watu wa hovyo hovyo...nataka ujue kwamba wanaopinga jambo hili ni madaktari tena wale wanaojielewa na wanafuata ethics za udaktari na hawapendi kabisa uongo kama huu uendelee.

...
Kirusi cha HIV kinaonekana ukitumia electron microscope. Hiki kirusi ni kidogo mno, mara 60 zaidi kwa udogo ukilinganisha na red blood cell....

Wewe ndio wa kwanza kunishutumu kwamba mimi huwa sitoi evidence.Sasa naomba uniletee data za electronics micro graphs za huyo HIV baada ya kuonekana kwenye hiyo electronics microscope.Usilete siasa,lete data,jitahidi kutafuta kokote unakojua kisha uzilete hapa ili tujue kama unachosema ni kweli au unatumia hisia/kasumba za kuambiwa tu.

Huyo mgunduzi wenu wa huyo "HIV" anakubali kwamba hawajawahi kumwona HIV,hata kwa hiyo electronic microscope mnayopenda penda kuitaja ili kudanganya watu,sasa wewe tuambie wapi HIV ameonakana na weka hapa data za electronics micrographs.Usilete siasa.

Lakini anasahau hata malaria sasa hivi wanapima kupitia MRDT ikireact maana yake una malaria na sio lazima uone vijidudu vyenyewe.
....
Hilo la malaria nalijua,usifikiri mimi ni mjinga kiasi hicho....hata kama kuna vipimo hivyo vya malaria lakini tayari vipo vipimo vinavyoonesha vijidudu vya malaria tayari,na vijidudu vya malaria vimeshawahi kuonekana lakini hivi vya HIV havijawahi kuonekana...wewe huoni kama kuna tofauti hapo?

Vipimo vingi Africa vimefanywa kuwa simple ili hata watu vijijini wapate access na vipimo kwani kuna sehemu hamna Umeme.

Sawa vipimo viko simple kuokoa gharama...sasa unataka kuniambia hiyo electronic microscope ina gharama kubwa sana kiasi kwamba Tanzania tushindwe kuwa nayo hata moja tu?HATA MOJA!!!

Unajua gharama ya linear accelerator ile mashine ya mionzi pale ocean road cancer institute?Gharama yake ni zaidi ya Tshs 4 bilions,na serikali inanua mashine 8 kama hizo....sasa unataka kuniambia kwamba electronics microscope moja tu inazidi gharama za mashine 8 za linear accelerator?Try to think about that.

Sijui deception amesomea fani gani ila hana evidence wala research yoyote. Mara nyingi ana base kwenye you tube...

Uliwahi kutaka evidence nikashindwa kukupa?Hivi ninyi mnaongea kwa vigezo gani?Wapo madaktari humuhumu waliwahi kuomba evidence zikiwemo scientific papers...nikawaletea...wakasema ni speculations tu na hazina ukweli wowote...hivi wewe,mtu na fani yake kafanya research na kaandika scientific paper halafu wewe unasema ni speculations!!....kwanini usiseme zile unazozisoma darasani ndio speculation?Unatumia vigezo gani kujua kama hii ni speculation na hii sio?Hivi ninyi mnafikiri suala hili lele mama eenh?

Haya na wewe sema unataka evidence gani nikuletee?

Ni kweli kwamba HIV virus Ina usiri mwingi sana. Kuanzia chimbuko lake na kama ni vya kutengeneza..

Sasa kwanini hutaki kujisumbua kujua siri hiyo?Ukijua siri hiyo ndio utaelewa haya ninayoyasema.

Kumwambia kijana ambaye hana exposure kwamba HIV ni fake ni kupoteza vijana wetu kwa kuwaruhusu kufanya ngono zembe.....

Futa kwanza unachokijua na uanze upya...vinginevyo wewe kuelewa hiki ninachosema haitawezekana.
 
Wewe ndio wa kwanza kunishutumu kwamba mimi huwa sitoi evidence.Sasa naomba uniletee data za electronics micro graphs za huyo HIV baada ya kuonekana kwenye hiyo electronics microscope.Usilete siasa,lete data,jitahidi kutafuta kokote unakojua kisha uzilete hapa ili tujue kama unachosema ni kweli au unatumia hisia/kasumba za kuambiwa tu.

Huyo mgunduzi wenu wa huyo "HIV" anakubali kwamba hawajawahi kumwona HIV,hata kwa hiyo electronic microscope mnayopenda penda kuitaja ili kudanganya watu,sasa wewe tuambie wapi HIV ameonakana na weka hapa data za electronics micrographs.Usilete siasa.

Hilo la malaria nalijua,usifikiri mimi ni mjinga kiasi hicho....hata kama kuna vipimo hivyo vya malaria lakini tayari vipo vipimo vinavyoonesha vijidudu vya malaria tayari,na vijidudu vya malaria vimeshawahi kuonekana lakini hivi vya HIV havijawahi kuonekana...wewe huoni kama kuna tofauti hapo?

Sawa vipimo viko simple kuokoa gharama...sasa unataka kuniambia hiyo electronic microscope ina gharama kubwa sana kiasi kwamba Tanzania tushindwe kuwa nayo hata moja tu?HATA MOJA!!!

Unajua gharama ya linear accelerator ile mashine ya mionzi pale ocean road cancer institute?Gharama yake ni zaidi ya Tshs 4 bilions,na serikali inanua mashine 8 kama hizo....sasa unataka kuniambia kwamba electronics microscope moja tu inazidi gharama za mashine 8 za linear accelerator?Try to think about that.

Uliwahi kutaka evidence nikashindwa kukupa?Hivi ninyi mnaongea kwa vigezo gani?Wapo madaktari humuhumu waliwahi kuomba evidence zikiwemo scientific papers...nikawaletea...wakasema ni speculations tu na hazina ukweli wowote...hivi wewe,mtu na fani yake kafanya research na kaandika scientific paper halafu wewe unasema ni speculations!!....kwanini usiseme zile unazozisoma darasani ndio speculation?Unatumia vigezo gani kujua kama hii ni speculation na hii sio?Hivi ninyi mnafikiri suala hili lele mama eenh?

Haya na wewe sema unataka evidence gani nikuletee?

Sasa kwanini hutaki kujisumbua kujua siri hiyo?Ukijua siri hiyo ndio utaelewa haya ninayoyasema.

Futa kwanza unachokijua na uanze upya...vinginevyo wewe kuelewa hiki ninachosema haitawezekana.

Deception - Una haki ya kuandika kwa sababu ni haki yako.

Kwanza kabisa upo kwenye kundi la watu wanaoitwa denialist, naweka tu hapa link ili watu waelewe maana ya watu kama nyinyi. HIV/AIDS denialism - Wikipedia, the free encyclopedia

Lakini pili video unazoweka hapo ni za zamani sana. Ningetamani usome ili ujue kwamba tangu ugonjwa unagunduliwa huwa kuna speculations tofauti, lakini kadri research zinavyoendelea speculations hupungua kwa sababu ya true scientific research.

Naomba utambue Mungu ni wa ajabu sana. Kuna watu wana very strong immune system. Kuna watu wanaishi Dar lakini wana mpaka 15 years hawajawahi kuugua malaria. Vivyo hivyo kuna watu ambao immune yao haiwezi kuruhusu HIV virus afanye replication. Inawezekana mmoja wapo ni wewe au hao jamaa zako wa you tube.

Usiri wa HIV ninaozungumzia mimi ni wapi vilitoka. Kuna speculations nyingi sana kwamba hivi virusi ni vya kutengeneza maabara. Huo ndiyo usiri uliopo. Lakini hivi virusi vipo na vinaishi na ndugu zetu wengi wanaangamia kwa hivi virusi.

Kwa sababu HIV virus huharibu kinga ya mtu na kinga ya mtu hufanywa madhubuti kwa kula vyakula vyenye afya, sidhani kama ni haki kulinganisha maabukizi ya ulaya na hapa kwetu Afrika. Hata strain zipo tofauti. Waafrika wengi sembuse watanzania hawali chakula bora na ndiyo maana virusi hushambulia kinga haraka sana.

Mimi naona unapotosha jamii kwa you tube zako. Ungejikita zaidi kujua morphology ya HIV virus ili upate uelewa vizuri na sio kusema virusi havipo.

Lakini pia natambua kuna watu mpaka leo wanasema hakuna uchawi. Na kweli mimi siwezi kuleta ushahidi kwamba uchawi upo. Lakini upo. Ndiyo kama wewe unasema virusi vipo lakini vipo.

Acha kupotosha jamii mkuu. Katika maelezo yako siasa ndiyo nyingi ila hakuna clear cut documentation unayobase nayo. Hata maneno yako sio scientific. Ni maneno kama niliyoandika hapo juu.

Kama unataka kukinzana na science basi tafuta maabara yako. Document hizo speculations kwa kufanya blood transfusion under supervision ya madkatari, subiri miezi mitatu halafu utuletee mrejesho. Halafu pia chukua watu wengine kama kumi ambao umeshawa waaminisha na maneno yako uwafanye vivyo hivyo, Ili sasa jamii ya watanzania iwe na ushahidi wa ndani na sio porojo.

Nimeattach pic ya virusi.
 
Attachments

HIV virus Images - TEM

Sijui unataka nini zaidi mkuu deception. Ni kwanini ukiugua mafua huwa unaenda kutafuta dawa fasta. Ulishawahi kuviona virusi vinavyosababisha mafua?
 
Usifikiri kwamba wewe ni wa kwanza kukimbilia kupakua hiyo link kwangu...angalia mmojawapo nayeye alipakuwa hiyo link na kunionesha eti kama vile mimi sijui hilo.

Tunaambiwa nyie mnaokataa HIV ni conspiracy theorists kama wale wanaokataa kwamba Wamarekani wamefika mwezini.

HIV/AIDS denialism

HIV/AIDS denialism - Wikipedia, the free encyclopedia

HIV/AIDS denialism is the belief, contradicted by conclusive medical and scientific evidence,[1][2] that human immunodeficiency virus (HIV) does not cause acquired immune deficiency syndrome (AIDS).[3] Some of its proponents reject the existence of HIV, while others accept that HIV exists but argue that it is a harmless passenger virus and not the cause of AIDS. Insofar as they acknowledge AIDS as a real disease, they attribute it to some combination of sexual behavior, recreational drugs, malnutrition, poor sanitation, haemophilia, or the effects of the drugs used to treat HIV infection.[4][5]

The scientific consensus is that the evidence showing HIV to be the cause of AIDS is conclusive[1][2] and that HIV/AIDS denialist claims are pseudoscience based on conspiracy theories,[6] faulty reasoning, cherry picking, and misrepresentation of mainly outdated scientific data.[1][2][7] With the rejection of these arguments by the scientific community, HIV/AIDS denialist material is now targeted at less scientifically sophisticated audiences and spread mainly through the Internet.[8][9]

Despite its lack of scientific acceptance, HIV/AIDS denialism has had a significant political impact, especially in South Africa under the presidency of Thabo Mbeki. Scientists and physicians have raised alarm at the human cost of HIV/AIDS denialism, which discourages HIV-positive people from using proven treatments.[2][8][10][11][12][13] Public health researchers have attributed 330,000 to 340,000 AIDS-related deaths, along with 171,000 other HIV infections and 35,000 infant HIV infections, to the South African government's former embrace of HIV/AIDS denialism.[14][15] The interrupted use of antiviral treatments is also a major global concern as it potentially increases the likelihood of the emergence of antiviral-resistant strains of the virus.[16]

sasa basi:
Na mimi ninayo paper inayopingana na paper hiyo uliyoleta wewe.Unadhani wewe utakubali hiyo paper nitakayoleta mimi?La hasha,hutakubali,hutakubali kwa kuwa HIV/AIDS kwako ni imani na huichukulii kama sayansi.

Hivyo basi,endelea kuamini unachokiamini.Kwa kuwa ili uelewe nahitaji kurudia somo tangu mwanzo,kitu ambacho kitanigharimu muda mwingi sana.Huelewi mambo mengi sana ambayo ni very basic,eti virus katengenezwa maabara..wewe bado hujui dunia hii inavyoendeshwa na hivyo itakuwa vigumu sana kwako kujua kwanini mambo kama haya ya kufoji hutokea...by the way...nataka kukwambia kwamba si HIV/AIDS pekee,bali tumedanganywa pia kwenye magonjwa yafuatayo;

1.Cancer.Eti cancer haitibiki
2.Kisukari.Eti kisukari hakitibiki
3.EBOLA.Hakuna ugonjwa huu,huu ni uongo wa kutupa
4.SWINE FLU na BIRD flu...hakuna magonjwa haya,haya ni maigizo tu
5.ZIKA..hakuna ugonjwa unaotishia unaosababishwa na 'ZIKA virus'.

Najua hapo nitakuwa nimekuchanganya kabisa,na najua pia utakuwa na hasira.Usiwe na hasira,bali nakushauri usome sana,hapo ndipo utaona kwamba dunia haiko kama unavyofikiri wewe.

Unakumbatia watu wenye roho mbaya sana ktk dunia hii lakini wewe mwenyewe hujijui tu.Unaniona mimi sifai kumbe wale ambao unaowasujudia ndio hawafai.

SOMA sana.
 
Back
Top Bottom