Tangu internet izuiwe, baada ya kuruhusiwa mitandao inatupiga balaa sijui ni kwanini?

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
3,118
Reaction score
4,238
Siku za nyuma hapo nimewahi kuunga vifurushi vya wiki mara nne kwa siku kama masihara vile. Nikicheki settings zangu ziko bomba nikipiga huduma kwa wateja wanang'ang'ana na hoja za kukariri tukaenda hivyo hivyo nadhani sijui kwajili nimewasumbia sana wakaacha ujinga wao (au niseme wakapunguza).

Mwanzo nilihisi ni mimi tu lakini majuzi hapa nimeshajiwa na watu wengine kadhaa wakidai simu zinamaliza bando (MBs) bila kufanya matumizi. Huduma kwa wateja ukipiga ujinga wao ni ule ule tukaachana nao. Nilijaribu mpaka kurestore simu lakini wapi! Mwishoni nikaamua kupunguza kasi ya mtandao ndiyo kidogo nikawa nimewasevu hao jamaa lakini bado ulaji wa mb siyo wa kawaida

Kwa wale wenye simu zinazosoma mb unazotumia hebu niambieni hivi kweli mtu wa mashambani huku afungue data halafu pale kwenye bar inacount mb 5 kwa sekunde yaani nimefungua nikasema nijiridhishe huwezi amini imekwenda ndani ya dakika bila mimi kufanya chochote mb zikaisha na meseji ikaingia kwamba nimemaliza.

Huo ni mtandao bingwa wa majina ya ajabu ajabu sijui mitandao mingine huko nako kukoje
 
Hili tatizo hata mimi limenikumba sijajua hawa wezi wanafanyaje
 
Hii hoja Kuna mmoja kasema hadi kwenye UMEME pia wadau wanaweza kugusia
 
Dahh mi mwenyewe nimeshangaa aisee hawa wanatupiga kinamna fulani

Nahisi ni kama wanapandisha Gharama za mitandao kwa kupunguza MB ili mradi watu wapunguze mda mwingi wa kuwa online na kufuatilia mambo yanayoendelea nchini mwetu

Nimewaza hivyo
 
Siku za nyuma hapo nimewahi kuunga vifurushi vya wiki mara nne kwa siku kama masihara vile. Nikicheki settings zangu ziko bomba nikipiga huduma kwa wateja wanang'ang'ana na hoja za kukariri tukaenda hivyo hivyo nadhani sijui kwajili nimewasumbia sana wakaacha ujinga wao (au niseme wakapunguza).

Mwanzo nilihisi ni mimi tu lakini majuzi hapa nimeshajiwa na watu wengine kadhaa wakidai simu zinamaliza bando (MBs) bila kufanya matumizi. Huduma kwa wateja ukipiga ujinga wao ni ule ule tukaachana nao. Nilijaribu mpaka kurestore simu lakini wapi! Mwishoni nikaamua kupunguza kasi ya mtandao ndiyo kidogo nikawa nimewasevu hao jamaa lakini bado ulaji wa mb siyo wa kawaida

Kwa wale wenye simu zinazosoma mb unazotumia hebu niambieni hivi kweli mtu wa mashambani huku afungue data halafu pale kwenye bar inacount mb 5 kwa sekunde yaani nimefungua nikasema nijiridhishe huwezi amini imekwenda ndani ya dakika bila mimi kufanya chochote mb zikaisha na meseji ikaingia kwamba nimemaliza.

Huo ni mtandao bingwa wa majina ya ajabu ajabu sijui mitandao mingine huko nako kukoje
Kampeni kufidia hasara,na kufidia mapungufu tarajiwa ya kibajiti hivyo kila mnunuzi kagua thamani ya pesa yako kwa huduma tarajiwa!
 
Nchi imefirisika si mmesikia mzungu amesema kuanzia mwaka huu hamna misaada hivyo samuya ameagiza wafanye wafanyavyo ili ccm wasilale njaa.
 
yaani leo tu nimeunstall insta na face book maana sio kwa ulaji ho wa bando unashindwa hata kusarve... bando linakata sana nimewapigia hola ni kabla ya kukata niliona tufauti sana... sasa hivi nikitaka kuingia insta mpaka niwe pfisini nitumie pc
 
Siku za nyuma hapo nimewahi kuunga vifurushi vya wiki mara nne kwa siku kama masihara vile. Nikicheki settings zangu ziko bomba nikipiga huduma kwa wateja wanang'ang'ana na hoja za kukariri tukaenda hivyo hivyo nadhani sijui kwajili nimewasumbia sana wakaacha ujinga wao (au niseme wakapunguza).

Mwanzo nilihisi ni mimi tu lakini majuzi hapa nimeshajiwa na watu wengine kadhaa wakidai simu zinamaliza bando (MBs) bila kufanya matumizi. Huduma kwa wateja ukipiga ujinga wao ni ule ule tukaachana nao. Nilijaribu mpaka kurestore simu lakini wapi! Mwishoni nikaamua kupunguza kasi ya mtandao ndiyo kidogo nikawa nimewasevu hao jamaa lakini bado ulaji wa mb siyo wa kawaida

Kwa wale wenye simu zinazosoma mb unazotumia hebu niambieni hivi kweli mtu wa mashambani huku afungue data halafu pale kwenye bar inacount mb 5 kwa sekunde yaani nimefungua nikasema nijiridhishe huwezi amini imekwenda ndani ya dakika bila mimi kufanya chochote mb zikaisha na meseji ikaingia kwamba nimemaliza.

Huo ni mtandao bingwa wa majina ya ajabu ajabu sijui mitandao mingine huko nako kukoje
TIGO HAO NI WASHENZI SANA ROSTAM AZIZI NI MUHUNI WA WAHUNI ...NIKWELI KABISA UNACHO SEMA
 
Back
Top Bottom