Hii hoja Kuna mmoja kasema hadi kwenye UMEME pia wadau wanaweza kugusiaSiku za nyuma hapo nimewahi kuunga vifurushi vya wiki mara nne kwa siku kama masihara vile. Nikicheki settings zangu ziko bomba nikipiga huduma kwa wateja wanang'ang'ana na hoja za kukariri tukaenda hivyo hivyo nadhani sijui kwajili nimewasumbia sana wakaacha ujinga wao (au niseme wakapunguza).
Mwanzo nilihisi ni mimi tu lakini majuzi hapa nimeshajiwa na watu wengine kadhaa wakidai simu zinamaliza bando (MBs) bila kufanya matumizi. Huduma kwa wateja ukipiga ujinga wao ni ule ule tukaachana nao. Nilijaribu mpaka kurestore simu lakini wapi! Mwishoni nikaamua kupunguza kasi ya mtandao ndiyo kidogo nikawa nimewasevu hao jamaa lakini bado ulaji wa mb siyo wa kawaida
Kwa wale wenye simu zinazosoma mb unazotumia hebu niambieni hivi kweli mtu wa mashambani huku afungue data halafu pale kwenye bar inacount mb 5 kwa sekunde yaani nimefungua nikasema nijiridhishe huwezi amini imekwenda ndani ya dakika bila mimi kufanya chochote mb zikaisha na meseji ikaingia kwamba nimemaliza.
Huo ni mtandao bingwa wa majina ya ajabu ajabu sijui mitandao mingine huko nako kukoje

Naam hii nimeiwaza sana na nadhani ni maelekezo wamepewaVifurishi tunavyouziwa ni vidogo kuliko wanavyotutangazia mfano mb 400 wanakupa mb 200 kiuhalisia ila sms wanakuletea ni mb 400
Kampeni kufidia hasara,na kufidia mapungufu tarajiwa ya kibajiti hivyo kila mnunuzi kagua thamani ya pesa yako kwa huduma tarajiwa!Siku za nyuma hapo nimewahi kuunga vifurushi vya wiki mara nne kwa siku kama masihara vile. Nikicheki settings zangu ziko bomba nikipiga huduma kwa wateja wanang'ang'ana na hoja za kukariri tukaenda hivyo hivyo nadhani sijui kwajili nimewasumbia sana wakaacha ujinga wao (au niseme wakapunguza).
Mwanzo nilihisi ni mimi tu lakini majuzi hapa nimeshajiwa na watu wengine kadhaa wakidai simu zinamaliza bando (MBs) bila kufanya matumizi. Huduma kwa wateja ukipiga ujinga wao ni ule ule tukaachana nao. Nilijaribu mpaka kurestore simu lakini wapi! Mwishoni nikaamua kupunguza kasi ya mtandao ndiyo kidogo nikawa nimewasevu hao jamaa lakini bado ulaji wa mb siyo wa kawaida
Kwa wale wenye simu zinazosoma mb unazotumia hebu niambieni hivi kweli mtu wa mashambani huku afungue data halafu pale kwenye bar inacount mb 5 kwa sekunde yaani nimefungua nikasema nijiridhishe huwezi amini imekwenda ndani ya dakika bila mimi kufanya chochote mb zikaisha na meseji ikaingia kwamba nimemaliza.
Huo ni mtandao bingwa wa majina ya ajabu ajabu sijui mitandao mingine huko nako kukoje
NachokaaaaaVifurishi tunavyouziwa ni vidogo kuliko wanavyotutangazia mfano mb 400 wanakupa mb 200 kiuhalisia ila sms wanakuletea ni mb 400
TIGO HAO NI WASHENZI SANA ROSTAM AZIZI NI MUHUNI WA WAHUNI ...NIKWELI KABISA UNACHO SEMASiku za nyuma hapo nimewahi kuunga vifurushi vya wiki mara nne kwa siku kama masihara vile. Nikicheki settings zangu ziko bomba nikipiga huduma kwa wateja wanang'ang'ana na hoja za kukariri tukaenda hivyo hivyo nadhani sijui kwajili nimewasumbia sana wakaacha ujinga wao (au niseme wakapunguza).