Kaka shikamooKhantwe mwenyewe anaweza kukuzaa huku anasukuma chapati zake
[emoji23][emoji23][emoji23] karibu tena mkuuKuna viumbe unaweza ukajua bado wapo hatua za Nyani/sokwe..pathetic
Wewe tena mkuu huwa naiona tena huwa unatuma ule usiku wa manane
Haiwezekani kuoaoa na kuacha bila sababu ya msingi ikiwepo kifo.Kwa nini mkuu?
Hakika mkuu hakuna kingine zaidi ya usalitiDah...wiki hi watu wanabwagana kwelikweli....maana Prof na Chamdeko wake nao kimenuka....Kuna uhusiano wowote na bajeti za sikukuu?...nauliza tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ππππππ daaaahKuna viumbe unaweza ukajua bado wapo hatua za Nyani/sokwe..pathetic
Mshahara umetoroka kabla ya sikukuu?Tutaona mengi hadi ifikapo January 2019!Hakika mkuu hakuna kingine zaidi ya usaliti
Dah.. SMS tu kweli?... Basi jiandae kuleta Uzi mwingine...kwani sasa hivi natuma yangu kwa Khantwe na ukiiona utazimia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakika mkuu hakuna kingine zaidi ya usaliti