Tangu leo nimemuacha yna2 niko na new baby in town Khantwe

Tangu leo nimemuacha yna2 niko na new baby in town Khantwe

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kama heading inavyojieleza wakuu tangu leo nimeamua kumuacha yna2 niko na new baby in town Khantwe ,

Yna2 alinipa pressure isiyomisilika kila siku nakutana na sms mpya za maboy wengine kwa phone yake mara GuDume Viatu vya Samaki mara Genta hakika zero IQ niliishiia nusu kuchanginyikiwa,

Nachoshukuru nimepata mpenzi mpya kabisa kama ni gari basi ni Range New model 2019 ,


I love you my new Baby Khantwe
 
Dah...wiki hi watu wanabwagana kwelikweli....maana Prof na Chamdeko wake nao kimenuka....Kuna uhusiano wowote na bajeti za sikukuu?...nauliza tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakika mkuu hakuna kingine zaidi ya usaliti
 
Back
Top Bottom