kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
MmmmhWananchi kama mnavyojiita tumieni concept hiyo niliyowapa haihitaji akili kubwa kuelewa ninachokimaanisha.
Kubarini TU kuwa Mnyama sio level yenu, ndo maana baada ya mechi na Wydad wapo wanayanga waliodai wydad Haina Cha tofauti ni kama TU Simba SC kiuwezo, lengo likiwa ni kuwazuia wanamsimbazi wasisherehekee ushindi wao.
Means Simba SC = Wydad Casablanca
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa vyema sn mkuu..Wananchi kama mnavyojiita tumieni concept hiyo niliyowapa haihitaji akili kubwa kuelewa ninachokimaanisha.
Kubarini TU kuwa Mnyama sio level yenu, ndo maana baada ya mechi na Wydad wapo wanayanga waliodai wydad Haina Cha tofauti ni kama TU Simba SC kiuwezo, lengo likiwa ni kuwazuia wanamsimbazi wasisherehekee ushindi wao.
Means Simba SC = Wydad Casablanca
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mi naamini Simba ndo wajinga maana hata huo mtihani wa form two pamoja na kuingiza na HIRIZI bado walifeli [emoji16][emoji1787]Wananchi kama mnavyojiita tumieni concept hiyo niliyowapa haihitaji akili kubwa kuelewa ninachokimaanisha.
Kubarini TU kuwa Mnyama sio level yenu, ndo maana baada ya mechi na Wydad wapo wanayanga waliodai wydad Haina Cha tofauti ni kama TU Simba SC kiuwezo, lengo likiwa ni kuwazuia wanamsimbazi wasisherehekee ushindi wao.
Means Simba SC = Wydad Casablanca
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Leo wako 4m 4 wanatafuta kuingia Advance...Mi naamini Simba ndo wajinga maana hata huo mtihani wa form two pamoja na kuingiza na HIRIZI bado walifeli [emoji16][emoji1787]
Huko hua wanafika wanafeli wanarudi tena form two [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3061]Leo wako 4m 4 wanatafuta kuingia Advance...
Pambaneni huko 4m 2, kuitafuta 4m 3.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]