Tangu lini mitihani ya form 2 ikalinganishwa na mitihani ya form 4 ? Wananchi tumieni akili

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Wananchi kama mnavyojiita tumieni concept hiyo niliyowapa haihitaji akili kubwa kuelewa ninachokimaanisha.

Kubarini TU kuwa Mnyama sio level yenu, ndo maana baada ya mechi na Wydad wapo wanayanga waliodai wydad Haina Cha tofauti ni kama TU Simba SC kiuwezo, lengo likiwa ni kuwazuia wanamsimbazi wasisherehekee ushindi wao.

Means Simba SC = Wydad Casablanca

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mmmmh
 
Zote ni Necta mkuu

Kuanzia darasa la 4, la saba form two form hadi form 6.

Kila alievuka huenda stage nyingine, ukifeli hutoendelea mbele kama wenzio waliofaulu ama lah utafute njia zako kusonga mbele.
 
Wananchi kama mnavyojiita tumieni concept hiyo niliyowapa haihitaji akili kubwa kuelewa ninachokimaanisha.

Kubarini TU kuwa Mnyama sio level yenu, ndo maana baada ya mechi na Wydad wapo wanayanga waliodai wydad Haina Cha tofauti ni kama TU Simba SC kiuwezo, lengo likiwa ni kuwazuia wanamsimbazi wasisherehekee ushindi wao.

Means Simba SC = Wydad Casablanca

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa vyema sn mkuu..

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Wananchi kama mnavyojiita tumieni concept hiyo niliyowapa haihitaji akili kubwa kuelewa ninachokimaanisha.

Kubarini TU kuwa Mnyama sio level yenu, ndo maana baada ya mechi na Wydad wapo wanayanga waliodai wydad Haina Cha tofauti ni kama TU Simba SC kiuwezo, lengo likiwa ni kuwazuia wanamsimbazi wasisherehekee ushindi wao.

Means Simba SC = Wydad Casablanca

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mi naamini Simba ndo wajinga maana hata huo mtihani wa form two pamoja na kuingiza na HIRIZI bado walifeli [emoji16][emoji1787]
 
Leo wako 4m 4 wanatafuta kuingia Advance...

Pambaneni huko 4m 2, kuitafuta 4m 3.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko hua wanafika wanafeli wanarudi tena form two [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3061]
Ni Aibu Kwa kweli
 
Back
Top Bottom