Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiumbuke mwanzo mke alitoka nje ndipo akaomba uhuru zaidi, ataingia chumba cha kukutania stakapo jisikia yeye!. Huke kwake akiendelea kupokea wageni!. Utaweza kuvumilia?!.
Pasco
Kuna watu wanapenda kufa, kuoza. Hujaona mtu kapenda hadi kila kitu kakabidhi kwa mke?.Ndio....kumbe Tanganyika iliolewa?
mwanamke akiolewa hubadili jina na kua mrs. lakini mwanaume habadili jina akioa.
Na mpaka hapo leo ndo nimejua kumbe
Mme ni ZANZIBAR na mke ni TANGANYIKA ndo maana jina la mke likafa na mme likabaki
Paschal siku hizi hana hojaJF mods acheni kuruhisu thread za kitoto toto....hii ni nini?
Wanabodi,Wanabodi,
Mungu Ibariki Tanzania!.
Muungano Milele na utalindwa kwa gharama yoyote!.
Paskali
pasco nakuita hivi maana ndio jina nimelizoea tokea miaka ile..Wanabodi,
Leo sikukuu ya Muungano, nafanya mapitio ya baadhi ya mabandiko ya muungano.
Japo waasisi wa muungano wetu huu adhimu ni Nyerere na Karume, muungano ni kama ndoa, kuna mtu ana proposes, mwingine anakubali, ndoa inafungwa. Kwenye muungano wetu huu adhimu, aliye proposes ni Nyerere, Karume akakubali. Nia ya Nyerere ni kwenda kwenye serikali moja. Wito kwa viongozi wetu, kama nia ya kweli ni kudumisha muungano, twende kwenye serikali moja. Tumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kuyaishi maono yake!. Nawatakia Muungano Mwema.
Paskali
Mkuu Fast Forward , ni kweli kwenye huu muungano wetu adhimu wa nchi moja, kuna vitu vingine ni vya ajabu sana!. Mfano lile sakata la sukari ya kiwanda cha Maruhubi Zanzibar, kukataliwa kuingia Bara!, huku Tanzania bara tuna uhaba wa sukari, tunaagiza nje ya nchi!.Toa kitu visiwani kilete bara utaambiwa lipia kodi kama vile umekitoa nchi nyingine sasa hii haileti maana kabisa ya muungano yapo mengi sana ambayo yanashangaza na aina hii ya muungano wa sasa.
Halafu hali ya kiajira upande wa visiwani hasa serikali ya kimapinduzi, taasisi zingine mfano jeshi la polisi au TPDF au TRA ndio utaona watu kutoka bara ila nafasi za wawakilishi hautakaa uone mtu kutoka bara japo huku bara mtu wa visiwani anaweza kuwa mbunge kwa huku.Mkuu Fast Forward , ni kweli kwenye huu muungano wetu adhimu wa nchi moja, kuna vitu vingine ni vya ajabu sana!. Mfano lile sakata la sukari ya kiwanda cha Maruhubi Zanzibar, kukataliwa kuingia Bara!, huku Tanzania bara tuna uhaba wa sukari, tunaagiza nje ya nchi!.
P
Halafu hali ya kiajira upande wa visiwani hasa serikali ya kimapinduzi, taasisi zingine mfano jeshi la polisi au TPDF au TRA ndio utaona watu kutoka bara ila nafasi za wawakilishi hautakaa uone mtu kutoka bara japo huku bara mtu wa visiwani anaweza kuwa mbunge kwa huku.
Suala la sukari ni kituko sana yaani sijui ilikuwaje hawa jamaa wakafanya lile jambo namna ile.
Tunashida sana ya maono na uamuzi kwa viongozi wetu.
Pamoja na kwamba mada ni ya muda mrefu na pia Muungano wenyewe siupendi na wala sioni kama una maana yoyote zaidi ya sisi Watanganyika kujigeuza mabwege na kuruhusu kutawaliwa na Wazanzibar hadi wilayani huko kwa kuwekewa ma DC kutoka Zanzibar wakati huko Zanzibar Mtanganyika haruhusiwi hata kuwa mjumbe wa nyumba 10,yaani siwezi kuita huu ni muungano bali tumeamua kutawaliwa na Zanzibar hii ni aibu kubwa.
Ebu angalia leo hii Rais tunayemuita wa muungano ni Mzanzibar anateuwa kila kiongozi huku Tanganyika lakini hana mamlaka ya kuteua hata afisa tarafa kule Zanzibar!
Lakini nilichotaka kujua kutoka kwako mleta mada unapofananisha huu "Muungano" ni sawa na ndoa je nani mume na nani mke? Au unamaanisha Tanganyika ndiyo mke na Zanzibar ndiyo mume na ukizingatia kwa sasa Tanganyika ndiyo tunatawaliwa na raia wa Zanzibar?
Wanabodi,
Leo sikukuu ya Muungano, nafanya mapitio ya baadhi ya mabandiko ya muungano.
Japo waasisi wa muungano wetu huu adhimu ni Nyerere na Karume, muungano ni kama ndoa, kuna mtu ana proposes, mwingine anakubali, ndoa inafungwa. Kwenye muungano wetu huu adhimu, aliye proposes ni Nyerere, Karume akakubali. Nia ya Nyerere ni kwenda kwenye serikali moja. Wito kwa viongozi wetu, kama nia ya kweli ni kudumisha muungano, twende kwenye serikali moja. Tumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kuyaishi maono yake!. Nawatakia Muungano Mwema.
Paskali
Jee wajua ukimbaka binti, kisha binti asikukuruke, wala asipige kelele, na akaendelea kuishi kwako, huku ukiendelea kumbaka, jee wajua atahesabika ameridhia?.Nchi si mali za Nyerere na Karume kama walipendana wakaamua kuoana ni wao si wananchi , Huu si muungano ni uvamizi
Jee wajua ukimbaka binti, kisha binti asikukuruke, wala asipike kelele, atahesabika ameridhia?. Ukimvamia mtu na akatulia na kujituliza, bado utauhesabu ni uvamizi?.
P
Kwanza poleni sana kwa haya, kama ni kweli. Tanzania tunayo Tume ya Haki za Binaadam na Utawala Bora, kama una uthibitisho wa tuhuma hizi, naomba uziripoti kunakohusika.Hao aliowafunga gerezani kwa miaka 10 walikuwa mabinti ? na hawa mnaoendelea kuwauwa kila uchaguzi wamekuwa mabinti , ahsante sana Pascal kama hivyo ndivyo unavyoona yaani watu kuuliwa kila uchaguzi na kutiwa ulemavu na kunajisiwa unaona wametulia tu ??
Kwanza poleni sana kwa haya, kama ni kweli. Tanzania tunayo Tume ya Haki za Binaadam na Utawala Bora, kama una uthibitisho wa tuhuma hizi, naomba uziripoti kunakohusika.
P