Tangu Makonda aanze propaganda ametatua kero gani ya mwananchi?

Unataka utafuniwe Kila kitu..jinga kabisa
Kazi ya hicho ki Infinix ni Nini haswa.
Usipelekwe tu do research first ndio uandike.. hopeless
Sawa Mjukuu wa Lucas,tupe research uliyofanya wewe,kama sii matango pori tena ya kulishwa.Kama naye Luca alivyolishwa😄
 
Kuna mtu alipata nafasi ya kueleza shida kule Sumbawanga alisema amemtafuta kutoka Kahama,Kigoma nk ndipo alibahatika kupata nafasi huko.
Wananchi wanafika wenyewe bila kusombelewa na magari.
 
Kwa sababu hawana pa kukimbilia kila sehem rushwa
 
Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi?

Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya kusikiliza kero, alipoondoka kwenye wilaya wakurugenzi wakarudi kwenye basics

Kuna Sehemu mfano Rukwa amekwenda kutatua kero kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, ameondoka kila mtu kutawanyika kwenye kazi zake za kila siku.

Hakuna Sehemu yoyote alipopita akaacha maelekezo yake yanafanyiwa kazi. Watendaji wanampuuza.

Na hapa atakuwa amekasirika, atakacho kwenda kufanya ni kupendekeza watumbuliwe au wahamishwe kuonekana kama yeye ana nguvu

Swali kubwa, je atasikilizwa na wakubwa zake? Wakimsikiliza yeye fukuto ndani ya chama na serikali litakuwaje?

Tunanufaika vipi kama wananchi na siasa hizi? Lakini mbona kote anakopita hakuna Sehemu anapouliza mbunge wa jimbo husika yupo wapi? Wabunge wanaowakilisha wananchi kama kweli hizi ndizo kero za wananchi wao wanazosemea wapi?

Ni wapi tumemsikia akimtuhumu waziri kwamba hakuna huduma za afya na shule? Katavi kuna shida kubwa ila hajasema kwa sababu msimamo wa chama nikusema tumejenga.....je amejionea vilivyojengwa?
Mimi kinachonishangaza kwa lawama walizonazo wananchi ni kama serikali hakuna, halafu hapo hapo mnafiki Makonda analalama CCM Hoye!!. CCM Hoye kwa uchafu huo wote?
 
Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi?

Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya kusikiliza kero, alipoondoka kwenye wilaya wakurugenzi wakarudi kwenye basics

Kuna Sehemu mfano Rukwa amekwenda kutatua kero kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, ameondoka kila mtu kutawanyika kwenye kazi zake za kila siku.

Hakuna Sehemu yoyote alipopita akaacha maelekezo yake yanafanyiwa kazi. Watendaji wanampuuza.

Na hapa atakuwa amekasirika, atakacho kwenda kufanya ni kupendekeza watumbuliwe au wahamishwe kuonekana kama yeye ana nguvu

Swali kubwa, je atasikilizwa na wakubwa zake? Wakimsikiliza yeye fukuto ndani ya chama na serikali litakuwaje?

Tunanufaika vipi kama wananchi na siasa hizi? Lakini mbona kote anakopita hakuna Sehemu anapouliza mbunge wa jimbo husika yupo wapi? Wabunge wanaowakilisha wananchi kama kweli hizi ndizo kero za wananchi wao wanazosemea wapi?

Ni wapi tumemsikia akimtuhumu waziri kwamba hakuna huduma za afya na shule? Katavi kuna shida kubwa ila hajasema kwa sababu msimamo wa chama nikusema tumejenga.....je amejionea vilivyojengwa?
Mkuu Makonda ni mwenezi, kazi yake propaganda, na kweli kaitendea haki. CCM haitatui kero bali inatengeneza kero halafu inasingizia serikali ambayo ni mwanaye. Kimsingi kupitia Makonda CCM inaaminisha wananchi wengi waliozoea uongo wa Mwendazake.
 
Kuna mtu alipata nafasi ya kueleza shida kule Sumbawanga alisema amemtafuta kutoka Kahama,Kigoma nk ndipo alibahatika kupata nafasi huko.
Wananchi wanafika wenyewe bila kusombelewa na magari.
Watu wanaandaliwa. Wengine wanavaa jezi ya CCM na kuandikiwa mabango. Ni kwamba hakuna kero inayotatuliwa zaidi ya kufanya siasa na Propaganda.
 
Kama amepokea kero 100 (kwa mfano)
Sidhani kama ametatua kero hata 1, kama kuna anaekataa alete ushahidi nimekaa 👉
 
Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi?

Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya kusikiliza kero, alipoondoka kwenye wilaya wakurugenzi wakarudi kwenye basics

Kuna Sehemu mfano Rukwa amekwenda kutatua kero kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, ameondoka kila mtu kutawanyika kwenye kazi zake za kila siku.

Hakuna Sehemu yoyote alipopita akaacha maelekezo yake yanafanyiwa kazi. Watendaji wanampuuza.

Na hapa atakuwa amekasirika, atakacho kwenda kufanya ni kupendekeza watumbuliwe au wahamishwe kuonekana kama yeye ana nguvu

Swali kubwa, je atasikilizwa na wakubwa zake? Wakimsikiliza yeye fukuto ndani ya chama na serikali litakuwaje?

Tunanufaika vipi kama wananchi na siasa hizi? Lakini mbona kote anakopita hakuna Sehemu anapouliza mbunge wa jimbo husika yupo wapi? Wabunge wanaowakilisha wananchi kama kweli hizi ndizo kero za wananchi wao wanazosemea wapi?

Ni wapi tumemsikia akimtuhumu waziri kwamba hakuna huduma za afya na shule? Katavi kuna shida kubwa ila hajasema kwa sababu msimamo wa chama nikusema tumejenga.....je amejionea vilivyojengwa?

Kama aliweza kuwaweka maelfu ya vijana pale leaders na cv zao kuwa anawapa kazi na hadi Leo hakuna mmoja amempa..

Aliweka maelfu ya wa mama pale kwa mkuu wa mkoa akiwaahidi atawasaidia kudai pesa za matumizi kwa waume zao wakiwamo wa china na hadi Leo hakuna aliyemsaidia na wamerudi kwenye ustawi wa jamii Au mahakamani …atamsaidia nani

Watanzania wamezoea kufanywa mazuzuzu kwa sababu wana kumbukumbu ndogo ,,,,,…mtu aliyeishi kwa utekaji Leo anawahubiria kuhusu utekaji
 
Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi?

Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya kusikiliza kero, alipoondoka kwenye wilaya wakurugenzi wakarudi kwenye basics

Kuna Sehemu mfano Rukwa amekwenda kutatua kero kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, ameondoka kila mtu kutawanyika kwenye kazi zake za kila siku.

Hakuna Sehemu yoyote alipopita akaacha maelekezo yake yanafanyiwa kazi. Watendaji wanampuuza.

Na hapa atakuwa amekasirika, atakacho kwenda kufanya ni kupendekeza watumbuliwe au wahamishwe kuonekana kama yeye ana nguvu

Swali kubwa, je atasikilizwa na wakubwa zake? Wakimsikiliza yeye fukuto ndani ya chama na serikali litakuwaje?

Tunanufaika vipi kama wananchi na siasa hizi? Lakini mbona kote anakopita hakuna Sehemu anapouliza mbunge wa jimbo husika yupo wapi? Wabunge wanaowakilisha wananchi kama kweli hizi ndizo kero za wananchi wao wanazosemea wapi?

Ni wapi tumemsikia akimtuhumu waziri kwamba hakuna huduma za afya na shule? Katavi kuna shida kubwa ila hajasema kwa sababu msimamo wa chama nikusema tumejenga.....je amejionea vilivyojengwa?
Mie nilitolea mfano wa namna alivyoshughulikia lile swala la Dar eti wamama waliotelekezwa na wanaume waliozaa nao - yaani hamna aliyetatuliwa kero zake na mengine baada ya kupelekwa kwake mahusiano ndiyo yakawa ya hovyo kabisa na chuki mumo. Mwenyewe ndiyo niliimarisha vikwazo nikaamua kutoa misaada direct kwa mtoto bila kupitia kwa mama yake mpaka akanyooka. Yaani CCM wakija kushtuka itakuwa imechelewa sana. Ona sasa leo hata Tundu Lissu tu wameshaanza kumwogopa!
 
Bado hujasema 😂😂
 
Hana solutions. Ni kumjenga yeye binafsi kisiasa
 
Back
Top Bottom