Sawa Mjukuu wa Lucas,tupe research uliyofanya wewe,kama sii matango pori tena ya kulishwa.Kama naye Luca alivyolishwa😄Unataka utafuniwe Kila kitu..jinga kabisa
Kazi ya hicho ki Infinix ni Nini haswa.
Usipelekwe tu do research first ndio uandike.. hopeless
Wanaaanda na kunguni wafuatane pamoja😀Subiri chawa wake waje.
Kigamboni kuna umeme wa mgao. Unapowaka una uwezo wa kuwasha taa tu.hata fridge haziwaki.Hazina impact kwenyw uchumi, umeme, bei nafuu za bidhaa wala itawala bora ktk Taifa.
It is just a wastage og time.
Unaongea na makonda?Kliniki zimeanzishwa tayari..kama hujui kitu uliza au tuliza boga ulilonalo nyuma.
Hizo clinics zimetatua matatizo mangapi mkuu!Kliniki zimeanzishwa tayari..kama hujui kitu uliza au tuliza boga ulilonalo nyuma.
Kuna mtu alipata nafasi ya kueleza shida kule Sumbawanga alisema amemtafuta kutoka Kahama,Kigoma nk ndipo alibahatika kupata nafasi huko.
Wananchi wanafika wenyewe bila kusombelewa na magari.
Mimi kinachonishangaza kwa lawama walizonazo wananchi ni kama serikali hakuna, halafu hapo hapo mnafiki Makonda analalama CCM Hoye!!. CCM Hoye kwa uchafu huo wote?Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi?
Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya kusikiliza kero, alipoondoka kwenye wilaya wakurugenzi wakarudi kwenye basics
Kuna Sehemu mfano Rukwa amekwenda kutatua kero kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, ameondoka kila mtu kutawanyika kwenye kazi zake za kila siku.
Hakuna Sehemu yoyote alipopita akaacha maelekezo yake yanafanyiwa kazi. Watendaji wanampuuza.
Na hapa atakuwa amekasirika, atakacho kwenda kufanya ni kupendekeza watumbuliwe au wahamishwe kuonekana kama yeye ana nguvu
Swali kubwa, je atasikilizwa na wakubwa zake? Wakimsikiliza yeye fukuto ndani ya chama na serikali litakuwaje?
Tunanufaika vipi kama wananchi na siasa hizi? Lakini mbona kote anakopita hakuna Sehemu anapouliza mbunge wa jimbo husika yupo wapi? Wabunge wanaowakilisha wananchi kama kweli hizi ndizo kero za wananchi wao wanazosemea wapi?
Ni wapi tumemsikia akimtuhumu waziri kwamba hakuna huduma za afya na shule? Katavi kuna shida kubwa ila hajasema kwa sababu msimamo wa chama nikusema tumejenga.....je amejionea vilivyojengwa?
Kiliniki ipi?Kliniki zimeanzishwa tayari..kama hujui kitu uliza au tuliza boga ulilonalo nyuma.
Mkuu Makonda ni mwenezi, kazi yake propaganda, na kweli kaitendea haki. CCM haitatui kero bali inatengeneza kero halafu inasingizia serikali ambayo ni mwanaye. Kimsingi kupitia Makonda CCM inaaminisha wananchi wengi waliozoea uongo wa Mwendazake.Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi?
Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya kusikiliza kero, alipoondoka kwenye wilaya wakurugenzi wakarudi kwenye basics
Kuna Sehemu mfano Rukwa amekwenda kutatua kero kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, ameondoka kila mtu kutawanyika kwenye kazi zake za kila siku.
Hakuna Sehemu yoyote alipopita akaacha maelekezo yake yanafanyiwa kazi. Watendaji wanampuuza.
Na hapa atakuwa amekasirika, atakacho kwenda kufanya ni kupendekeza watumbuliwe au wahamishwe kuonekana kama yeye ana nguvu
Swali kubwa, je atasikilizwa na wakubwa zake? Wakimsikiliza yeye fukuto ndani ya chama na serikali litakuwaje?
Tunanufaika vipi kama wananchi na siasa hizi? Lakini mbona kote anakopita hakuna Sehemu anapouliza mbunge wa jimbo husika yupo wapi? Wabunge wanaowakilisha wananchi kama kweli hizi ndizo kero za wananchi wao wanazosemea wapi?
Ni wapi tumemsikia akimtuhumu waziri kwamba hakuna huduma za afya na shule? Katavi kuna shida kubwa ila hajasema kwa sababu msimamo wa chama nikusema tumejenga.....je amejionea vilivyojengwa?
Kwa kifupi huna majibu. Asante.Unataka utafuniwe Kila kitu..jinga kabisa
Kazi ya hicho ki Infinix ni Nini haswa.
Usipelekwe tu do research first ndio uandike.. hopeless
Watu wanaandaliwa. Wengine wanavaa jezi ya CCM na kuandikiwa mabango. Ni kwamba hakuna kero inayotatuliwa zaidi ya kufanya siasa na Propaganda.Kuna mtu alipata nafasi ya kueleza shida kule Sumbawanga alisema amemtafuta kutoka Kahama,Kigoma nk ndipo alibahatika kupata nafasi huko.
Wananchi wanafika wenyewe bila kusombelewa na magari.
Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi?
Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya kusikiliza kero, alipoondoka kwenye wilaya wakurugenzi wakarudi kwenye basics
Kuna Sehemu mfano Rukwa amekwenda kutatua kero kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, ameondoka kila mtu kutawanyika kwenye kazi zake za kila siku.
Hakuna Sehemu yoyote alipopita akaacha maelekezo yake yanafanyiwa kazi. Watendaji wanampuuza.
Na hapa atakuwa amekasirika, atakacho kwenda kufanya ni kupendekeza watumbuliwe au wahamishwe kuonekana kama yeye ana nguvu
Swali kubwa, je atasikilizwa na wakubwa zake? Wakimsikiliza yeye fukuto ndani ya chama na serikali litakuwaje?
Tunanufaika vipi kama wananchi na siasa hizi? Lakini mbona kote anakopita hakuna Sehemu anapouliza mbunge wa jimbo husika yupo wapi? Wabunge wanaowakilisha wananchi kama kweli hizi ndizo kero za wananchi wao wanazosemea wapi?
Ni wapi tumemsikia akimtuhumu waziri kwamba hakuna huduma za afya na shule? Katavi kuna shida kubwa ila hajasema kwa sababu msimamo wa chama nikusema tumejenga.....je amejionea vilivyojengwa?
Mie nilitolea mfano wa namna alivyoshughulikia lile swala la Dar eti wamama waliotelekezwa na wanaume waliozaa nao - yaani hamna aliyetatuliwa kero zake na mengine baada ya kupelekwa kwake mahusiano ndiyo yakawa ya hovyo kabisa na chuki mumo. Mwenyewe ndiyo niliimarisha vikwazo nikaamua kutoa misaada direct kwa mtoto bila kupitia kwa mama yake mpaka akanyooka. Yaani CCM wakija kushtuka itakuwa imechelewa sana. Ona sasa leo hata Tundu Lissu tu wameshaanza kumwogopa!Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi?
Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya kusikiliza kero, alipoondoka kwenye wilaya wakurugenzi wakarudi kwenye basics
Kuna Sehemu mfano Rukwa amekwenda kutatua kero kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, ameondoka kila mtu kutawanyika kwenye kazi zake za kila siku.
Hakuna Sehemu yoyote alipopita akaacha maelekezo yake yanafanyiwa kazi. Watendaji wanampuuza.
Na hapa atakuwa amekasirika, atakacho kwenda kufanya ni kupendekeza watumbuliwe au wahamishwe kuonekana kama yeye ana nguvu
Swali kubwa, je atasikilizwa na wakubwa zake? Wakimsikiliza yeye fukuto ndani ya chama na serikali litakuwaje?
Tunanufaika vipi kama wananchi na siasa hizi? Lakini mbona kote anakopita hakuna Sehemu anapouliza mbunge wa jimbo husika yupo wapi? Wabunge wanaowakilisha wananchi kama kweli hizi ndizo kero za wananchi wao wanazosemea wapi?
Ni wapi tumemsikia akimtuhumu waziri kwamba hakuna huduma za afya na shule? Katavi kuna shida kubwa ila hajasema kwa sababu msimamo wa chama nikusema tumejenga.....je amejionea vilivyojengwa?
Bado hujasema 😂😂Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi?
Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya kusikiliza kero, alipoondoka kwenye wilaya wakurugenzi wakarudi kwenye basics
Kuna Sehemu mfano Rukwa amekwenda kutatua kero kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa, ameondoka kila mtu kutawanyika kwenye kazi zake za kila siku.
Hakuna Sehemu yoyote alipopita akaacha maelekezo yake yanafanyiwa kazi. Watendaji wanampuuza.
Na hapa atakuwa amekasirika, atakacho kwenda kufanya ni kupendekeza watumbuliwe au wahamishwe kuonekana kama yeye ana nguvu
Swali kubwa, je atasikilizwa na wakubwa zake? Wakimsikiliza yeye fukuto ndani ya chama na serikali litakuwaje?
Tunanufaika vipi kama wananchi na siasa hizi? Lakini mbona kote anakopita hakuna Sehemu anapouliza mbunge wa jimbo husika yupo wapi? Wabunge wanaowakilisha wananchi kama kweli hizi ndizo kero za wananchi wao wanazosemea wapi?
Ni wapi tumemsikia akimtuhumu waziri kwamba hakuna huduma za afya na shule? Katavi kuna shida kubwa ila hajasema kwa sababu msimamo wa chama nikusema tumejenga.....je amejionea vilivyojengwa?
Ziara za Makonda zina propaganda tu
Mie nilitolea mfano wa namna alivyoshughulikia lile swala la Dar eti wamama waliotelekezwa na wanaume waliozaa nao - yaani hamna aliyetatuliwa kero zake na mengine baada ya kupelekwa kwake mahusiano ndiyo yakawa ya hovyo kabisa na chuki mumo. Mwenyewe ndiyo niliimarisha vikwazo nikaamua kutoa misaada direct kwa mtoto bila kupitia kwa mama yake mpaka akanyooka. Yaani CCM wakija kushtuka itakuwa imechelewa sana. Ona sasa leo hata Tundu Lissu tu wameshaanza kumwogopa!
Huko hata kama hajapeleka Gwajima atasema zimepelekwa! We unawajua Makonda na Gwaji Boy weweeeeee!Amepeleka bulldozers/caterpillars 20 jimbo la Kawe kwa Gwajima????