Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Shida yote hii kisa mchepuko

Mrudishie kibubu chake

Tena ushukuru hata anahifadhi

Mwache atafute kesho yake...

Asipokuchuna na kukuibia wewe akamchune nani???


Mune wa mtu ni wa kula starehe nae na kumchuna...kama huchuniki uibiwe tu hakuna namna!!!!
 
Vicoba vicoba vicoba (nimeviita mara tatu)... Vimevunja ndoa nyingi sana za watu... Wanawake jifunzeni kutunza ela wenyewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na kikoba chenyewe jamani

Sijutii kikoba nilichopo.

Mwisho wa mwaka nina uhakika wa pesa ya kutosha na kukiwa na uhitaji unajua hukosi milioni kadhaa za fasta fasta
 
Inategemea na kikoba chenyewe jamani

Sijutii kikoba nilichopo.

Mwisho wa mwaka nina uhakika wa pesa ya kutosha na kukiwa na uhitaji unajua hukosi milioni kadhaa za fasta fasta
Kwa huu upuuz nafikiria kupiga marufuku Hii kikoba, kinaibua tabia za ovyo sana
 
Huu Ni wizi sio kunichuna, Kama anashida na Pesa si bora aseme TU.
Sio kujionesha anajua kukusanya pesa, kumbe ananikwapua kihuni.
 
Nimewahi kubiwa na mchepuko nilienda kuoga nikarudi nikavaa nikamsindikiza, nimerudi na angalia hela ilikuwa mezani chini ya kitabu siioni.
Hawa wanawake wengine Sijui saa nyngn wanakua wanawaza Nini,
Hivi wanadhan inawezekanaje utafute ela afu usahau Ni kias gan au mahali gani umeweka?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
umecheka?
Aisee mkuu,Uyu mwanamke kichwa maji Sana[emoji4]
Mkuu imebidi nicheke tu badala ya kuuzunika. Hawa viumbe kuwaelewa ni ngumu sana. Lakini ndiyo ivo amefikiria sana akaon njia sahihii ya kulipa kodi ya frem akuibie tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…