Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Afu mkuu sorry khs ule mchakato wetu, Nisamehe Sana sikuisoma ile text yako kw wakati. Nmekuja stuka it's too late.

Sema ile mchakato wetu nilikwenda kuisolve Moja kwa moja dodoma, na nmerud juz TU.

Mda si mrefu ntakupa briefing
Shaka ondoa chief

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tunawasiliana Mambo mengine,
bado hajanigusia kabisa khs suala lake la kibubu kupotea.

Nahisi hajajua bado Kama kibubu hakipo[emoji4]
Kesho si ndo Ijumaa siku ya rejesho...

Ngoja akute empty space nahisi atazimiaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan umenifanya nmecheka kwa sauti.

Eti akute "empty space"
 
Dar kuna mke wa mtu analiwa tigo kisa upatu ama kikoba na Dodoma kuna mke wa mtu mmoja nae anavurumishwa sana na wanaume mradi tu apate hela za vikoba vitatu. Wanagongwa sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaan umenifanya nmecheka kwa sauti.

Eti akute "empty space"
I just imagined her kainama kuchukua kibubu chake chenye hela ya udokozi halafu akutane na surpriseeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila I believe utamrudishia kibubu chake dada wa watu[emoji23][emoji23]
 
Dar kuna mke wa mtu analiwa tigo kisa upatu ama kikoba na Dodoma kuna mke wa mtu mmoja nae anavurumishwa sana na wanaume mradi tu apate hela za vikoba vitatu. Wanagongwa sana.
Yaan Hivi vikoba vimekuja kutuletea mabalaa Wanaume.[emoji848]

Can u imagine ndo ya mtu inavunjika kisa kikoba, upuuz wa wapi huu wanafanya kinamama[emoji3525]
 
Shida yote hii kisa mchepuko

Mrudishie kibubu chake

Tena ushukuru hata anahifadhi

Mwache atafute kesho yake...

Asipokuchuna na kukuibia wewe akamchune nani???

Mune wa mtu ni wa kula starehe nae na kumchuna...kama huchuniki uibiwe tu hakuna namna!!!!
Vijambazi mko wengi
 
Back
Top Bottom