Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Anakazi niliyomtafutia anayolipwa 250,000 kila mwezi, SIMUULIZI ANATUMIAJE

Kazin anapewa posho ya elfu 10 ya kula kila siku. SIMUULIZI ANATUMIAJE

Mafuta kwendea+kurud KAZIni kwake namjazia Mwnyw kila wiki.

Bado namuachia elfu 10 ya meza kila siku, bado nyngn ndogo ndogo za hapa na pale tukitoka out au mahitaj mengn madg madh?

Yaan Bado TU hapo huoni nambeba Sana uyu mwenzio[emoji848]
Huyu ni jambazi mwenzake anatetea uhalifu wao, mkumbushe hata kodi ya nyumba unalipa wewe.
 
Huu Ni wizi sio kunichuna, Kama anashida na Pesa si bora aseme TU.
Sio kujionesha anajua kukusanya pesa, kumbe ananikwapua kihuni.
Sasa kila siku akwambie?

Siju nyingine badala ya kumuachia 10 muachie 30 uone kama atakuibia.

La sivyo acha akwiiibe tu

Angekuwa anaenda kulewea ningeungana na wewe ila ananunua hisa, akuibiiiiiiiie tu
 
Sasa kila siku akwambie?

Siju nyingine badala ya kumuachia 10 muachie 30 uone kama atakuibia.

La sivyo acha akwiiibe tu

Angekuwa anaenda kulewea ningeungana na wewe ila ananunua hisa, akuibiiiiiiiie tu
Kodi ya nyumba, mafuta ya gari kila wiki, kodi ya meza kila Siku, kazi amemtafutia, bado ghrama nyingine, halafu una sapoti wizi,
 
Kodi ya nyumba, mafuta ya gari kila wiki, kodi ya meza kila Siku, kazi amemtafutia, bado ghrama nyingine, halafu una sapoti wizi,
Wanawake akili zao Ni complex sana ukizifikiria[emoji4]
 
Huyu dad Ni mke wa pili tu hkn namna ipo siku utaleta mrejesho kuwamchepuko kashika mimba aiwezekani udumu nae HV
Akuna namna
HV yulekija aliyekuwaa anamfatilia umefikia wapi nae umesha mjeruhi au Bado au kaingia mitini
 
Juz ndo nmetoka dodoma kushughulikia uhamisho wake kikazi ahamie mkoani.
 
oky inaonekana pia mambo yako si mabaya sana mkuu.
 
Back
Top Bottom