Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Kuna wanawake wanaridhika na the bare minimum a man can offer. Kweli tunatofautiana.

Stories za DeepPond zinafurahisha na kuelimisha only if you take the time to read between the lines.
Sahii kabisa,
Wengi wanasoma Kama stories

But Kuna meng ya kujifunza kwa wale wenye michepuko na wanaotarajia kuingia kwenye ulimwengu wa michepuko.

Mi mwnyw kuishi na uyu Mchepuko wangu Ni College tosha kimahusiano kwangu, ndo maana Niko inspired Sana kushare na ninyi.[emoji106]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si useme tu ana mihelaaa
Wenye mihela unawajua au unawasikia mzee wa kimasihara?

Siwez kua hata kwny ile the bottom list
 
Kodi ya nyumba, mafuta ya gari kila wiki, kodi ya meza kila Siku, kazi amemtafutia, bado ghrama nyingine, halafu una sapoti wizi,
Huo msongo wote wa mawazo chanzo chake ni nini hasa, bila ya kuangalia alipojikwaa na kuhangaika na alipoangukia ni sawa na anayetwanga maji kwenye kinu tu[emoji28][emoji847]
 
Back
Top Bottom