Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Bado akili yake haijatulia uyu mwanamke,
sema tunakoelekea sio kubaya Sana, anazid kuimprove

Kuna mabadiliko nayaona kwake, Sema hili la udokozi limenikera.
Mungu amjaalie abadilike aseehh!umri unasogea huoo!
 
Sio mmoja!
Huyu mmoja ni mchepuko permanent ila kuna mwingine, alituambia hapa!ambae anamwibia mwenzie[emoji3]
Alimla kimasihara harusini shoo ikawa mbovu[emoji23][emoji23][emoji23]afu mdogo wake mama j nae anaitwa rose mcheps
 
Unajua kupangilia sana mistari Chifu, japo sina hakika kuwa ni hadithi njoo....au ni habari ya kweli, hadi nimemkumbuka Kiduku Lilo [emoji847]
Ningekua kidukulilo ningeshindwa Nini kutamka figure za maana kwny stori ili kujikweza.

Yote nnayosimulia humu Ni uhalisia hamna hadithi njoo Wala nn?
 
Mkuu DeepPond nikuulize,
1. How many kids unao?
2. Unatumia mda gàni kubond na watoto, kama unao!
3. Mke ana nafasi gani katika maisha ya mahusiano yako, manake sioni popote mke anahusika..au hii ni exclusive ya mcheps,[emoji23][emoji23]
4. Hujawahi kuwaza kum-upgrade mcheps kuwa mke?
Akijibu nishtue,hasahasa swali no 3.
 
Wewe ndiye uliyemponza na uzi wako wa kula kimasihara, sisi wengine ni watazamaji tu maana kuingia kaingia kiulaini kabisa, shida ni kujitoa ktk huo Mchepuko [emoji2]
Kula kimasihara haina formula inaweza ikatokea yeyote hata wewe na popote na mbaya zaidi kwa usiye mdhania unaye mheshimuuu.
 
Kodi ya nyumba, mafuta ya gari kila wiki, kodi ya meza kila Siku, kazi amemtafutia, bado ghrama nyingine, halafu una sapoti wizi,
Havitoshi mkuu!!!!

Vumilia akamwibie nani zaidi yako.

Ukizingatia status uliyompa.ni ya mvheps tu
 
Back
Top Bottom