BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Atacheza kwa siri.....Ujinga ujinga TU,
Kwanza Kuna akili inanambia wakishavunja nimpige marufuku kucheza tena huu ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atacheza kwa siri.....Ujinga ujinga TU,
Kwanza Kuna akili inanambia wakishavunja nimpige marufuku kucheza tena huu ujinga
[emoji134][emoji134][emoji3]MREJESHO.....
Leo sijaenda kwake kabisa Kuna mahali nlipitia, kwny saa 4 usiku huu Kanipigia Katikati ya stori akanifahamisha kwamba anahisi kaibiwa hapo kwake.
Nkamuuliza "kivipi"
akasema " Kuna pesa za kikoba kesho niliweka ndani humu, sahv sizioni"
Nkamuuliza "aliziweka wapi Sasa",
Akanambia "siku zote zinakaaga pale tu chini ya Kitanda"
Nikamwambia
"Basi inua godolo lote ukague vizur"
Akasema
"mpk nakufahamisha maana ake nishafumua kila kitu humj chumbani na kufagia kabisa ila sijaona kitu chochote".
Nkamuuliza
"Ni sh.ngapi Kwan umeibiwa"
Akasema
"Nyingi nyingi TU ila sio chini ya laki 4 au zinaweza kuzidi"
nikamuuliza
"unaposema kuzid unamaanisha Nini, Inamaana ww hujui unatunza pesa Kia's gani humu ndani kwako?"
Akasema,
"Hamna, Ni kwamba nilikua na kibubu humu ndani, kwaiyo kwa mda wote niloweka pesa hazipungui laki 4 na ushee"
Nikamjibu,
"Wee utakua ujatulia ktk utaftaji wako, kesho asbh ntapitia hapo nikusaidie kutafuta"
Akasema, "Sawa" Kisha tukaagana.
Sasa kesho asbh bila shaka ntapitia kwake kwenda kumsaidia kutafta kibubu chake,
Ambacho uhalisia Ni kwamba ninacho Mimi mwnyw,
kwaiyo kesho asbh
Natarajia kumkabidhi kibubu chake pamoja na kumwambia ukweli wa upuuzi wake wote alokua anaufanya kunisachi mifukoni.
Ngoja tusubiri hiyo keshoMREJESHO.....

[emoji16][emoji16]huyu sio mchepuko mpk mafuta anawekewa kwenye gari ni mke mdogo bado kuwa official tu na hajaamua kujiuprgrade huyu mama j ili awe bimdogo Ila kuna dalili zote za huyu Dada kuwa mke mdogo rasmi soon na hyo gari ukute ndo ikawa yake rasmi baadae akamnunulia kabisaa[emoji134][emoji134][emoji3]
Nachofurahi ni kuwa humuachi unamwambia ukweli tu!
Nasubiri mrejesho wa kesho hapa baada ya kwenda kumsaidia kutafuta[emoji23]
Siti ya mbele kabisa...
BTW, kwann leo hujaenda kwa wifi jmn?
Ila huyu Wifi na kweli hajaamua tu kujiongeza![emoji16][emoji16]huyu sio mchepuko mpk mafuta anawekewa kwenye gari ni mke mdogo bado kuwa official tu na hajaamua kujiuprgrade huyu mama j ili awe bimdogo Ila kuna dalili zote za huyu Dada kuwa mke mdogo rasmi soon na hyo gari ukute ndo ikawa yake rasmi baadae akamnunulia kabisaa
Binam umesikia lakini [emoji3570][emoji126][emoji126]oooh darling you are soo sweet [emoji16][emoji16]
mpuuzi huyo asikusumbue sana inbobo ua namba kwa ushauri murua zaidi ya huu
Nmeskia vizur TU ila nmejifanya sijaskia kabisa[emoji4]Binam umesikia lakini [emoji3570][emoji126][emoji126]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisaa yaani angekua mke mdogo ofisho kabisa kwa ndugu na jamaa ila mkewe ataumia Sanaa!namuonea huruma mnoo mke mkubwa akija kujuaIla huyu Wifi na kweli hajaamua tu kujiongeza!
Ningeshafanya yangu ningekuwa mke kabisa![emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji2]kaaahhhuibiwe tu mwana halali wewe
kwa mchepuko bili 32000 halaf nyumbani unatoa 15000 ya soda
Ndugu yangu unafanya yote haya ila kumbuka kumpa mkeo wa halali gari. Na yeye kwa sababu siku likitokezea tatizo au majanga mchepuko ata kukimbia na mkeo ata hangaika kukuokoa ww
Aisee hatari sna hiiMREJESHO.....
Leo sijaenda kwake kabisa Kuna mahali nlipitia, kwny saa 4 usiku huu Kanipigia Katikati ya stori akanifahamisha kwamba anahisi kaibiwa hapo kwake.
Nkamuuliza "kivipi"
akasema " Kuna pesa za kikoba kesho niliweka ndani humu, sahv sizioni"
Nkamuuliza "aliziweka wapi Sasa",
Akanambia "siku zote zinakaaga pale tu chini ya Kitanda"
Nikamwambia
"Basi inua godolo lote ukague vizur"
Akasema
"mpk nakufahamisha maana ake nishafumua kila kitu humj chumbani na kufagia kabisa ila sijaona kitu chochote".
Nkamuuliza
"Ni sh.ngapi Kwan umeibiwa"
Akasema
"Nyingi nyingi TU ila sio chini ya laki 4 au zinaweza kuzidi"
nikamuuliza
"unaposema kuzid unamaanisha Nini, Inamaana ww hujui unatunza pesa Kia's gani humu ndani kwako?"
Akasema,
"Hamna, Ni kwamba nilikua na kibubu humu ndani, kwaiyo kwa mda wote niloweka pesa hazipungui laki 4 na ushee"
Nikamjibu,
"Wee utakua ujatulia ktk utaftaji wako, kesho asbh ntapitia hapo nikusaidie kutafuta"
Akasema, "Sawa" Kisha tukaagana.
Sasa kesho asbh bila shaka ntapitia kwake kwenda kumsaidia kutafta kibubu chake,
Ambacho uhalisia Ni kwamba ninacho Mimi mwnyw,
kwaiyo kesho asbh
Natarajia kumkabidhi kibubu chake pamoja na kumwambia ukweli wa upuuzi wake wote alokua anaufanya kunisachi mifukoni.
Hawez kujua,Kabisaa yaani angekua mke mdogo ofisho kabisa kwa ndugu na jamaa ila mkewe ataumia Sanaa!namuonea huruma mnoo mke mkubwa akija kujua
NimekupataHapo no.3 mkuu ERoni keshapigia mstari kabisa