Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

uibiwe tu mwana halali wewe

kwa mchepuko bili 32000 halaf nyumbani unatoa 15000 ya soda
Isingeweza kuzidi hapo maana wote pale nyumbn hawanywi pombe.

Au ulitaka niwanunulie kreti 4 za soda?
Wangezimaliza?

Kwanza kreti yenyewe Moja iyo walikunywa hawajaimaliza, nyingine kama soda 3 Jana nmeona bado zipo kwny friji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho.....

Leo alfajir ya saa 1 asbh nmefika moja kwa Moja kwa mchepuko mpk getini kwake, nmemwamsha kafungua.

Nmeingia mpk chumban,
Chumba chote Kimevurugwa, Anasema kibubu chake Cha chuma aliweka uku uvunguni hakioni kabaki na ufunguo TU.

Nikamwambia lete huo ufunguo wako,akanipa. Kisha nikamwambia kaa chini nikuoneshe kilipo. Akakaa.

Nikamwambia,
"Ebu acha Mambo ya kitoto, kibubu chako ninacho Mimi. Nmekichukua kusudi sababu unadokoa pesa zangu unaficha mle"

Akasema, "you can't be serious"

Nikasema, "subir hapo" basinmeenda nmekitoa kwny gar nmekileta pale nmemuonyesha. Anashangaa sana.

Nikamwambia, "Usintolee macho, nimekichukua kwasababu Kuna Ela zangu humu"

akasema "hapana"
Kiufup alijitetea Sana hamna hata Senti moja yangu mle,
nmemuonyesha ushahidi wa kikaratasi chenye namba nilizonakili pamoja na zile noti 10 zilizobaki kati ya zile 12 za elfu kumi kumi nilizoenda nazo kwake.

Kwamba Kuna noti 2 hazipo Hapa,
na zenye namba hizi hapa, Nna uhakika 100% ziko humu humu kwny sefu yako. Akasema tufungue.

Nmechukua ufunguo wake nemfungua sefu, tukakuta kulikua na noti nyingi mchanganyiko.
Zikachambuliwa za elfu kumi kumi Tupu zikawekwa pembeni.

Kisha zikakaguliwa namba ambapo zile mbili zenye namba nlizoonesha kwny kikaratasi hapo kabla zikapatikana mle mle ndani. Akawa mpole.

Akauliza "zimeingia humu?"

Nikamwambia, "hizi ndo noti zile za mwisho ulizoingiza humu ukidhani nmelewa juz nilipotoka Safar dodoma"

Akabaki anashangaa,

Nikaendelea kumwambia kwamba,
hii tabia ya kunidokolea hajaanzia Kwny tukio hili TU, nikamsimulia visa vyote vya nyuma nilivokuta shoti ya pesa mwny mazingira ya kutatanisha sema imani yangu haikunambia kabisa kua anaweza kuchukua yeye kwa jinsi nilivyomuamini miaka yote tulokua pamoja kwny mahusiano.

Nikamsimulia pia kwamba machale yalinicheza sana kabla ya kuwea mtego kwny tukio la mwisho baada ya hesabu ya zile risiti tulizopewa saluni na bar kukinzana kabisa na pesa niliyobeba wkt natoka home.
Na mtu niliezurura nae siku nzima alkua Ni yeye na sikulewa Wala Nini. Na nyumban hata wife hakugusa suruali yangu. Ndo nlkua nmefika TU natoa mifukoni nakutanana shoti.

Nimemwambia pia asione nmebeba pesa akajua najichotea tu natia mfukoni au natumia tu bila mahesabu,

Nnapobeba pesa nakua nna hesabu zangu tayar na kamwe siwez kusahau pesa niloitafuta kwa jasho langu.

Nmemwambia alichokifanya Ni cha kitoto Sana, Cha aibu Sana na kimemvunjia sana heshima yake.

Anapaswa ajirekebishe HARAKA sana, asitake kunitengenezea mazingira ya kuhisi nnapokua apo kwake na siko sehem salama.

Asitake kunitengenezea mazingira nikitaka Kwenda kwake nihofie usalama wa pesa au Mali zangu zote mifukoni, utadhani naenda kukutana na mwanamke kahaba wa kimboka au uwanja wa fisi.

Kama anashida ya pesa Ni Bora angesema, Kama ilkua Ni kukimbizana na malengo yake ya vikoba ili kufungua duka Ni Bora angefikia TU kiwango flan na Mimi ningeappreciate iyo Nia yake alikopambana na kumboost tu.

Maana sio kila neno langu nnalosema Ni Sheria au mswaafu. Vile vigezo na masharti nilomuwekea mwazo naweza kubadilika anytime kutokana na yeye mwnyw kajitwist vipi. Kuendana na ninachokitaka.

Kiukweli
Kaomba sana radhi nimsamehe Ila kasema yeye Lengo lake kabla ya mwez wa 4 haujaisha alitaman afungue duka hilo.
Eti kwa njia aliyotumia ila alikua anatafuta pesa ajazie ili afikishe haraka Akiba ya mil 2.5 ili aweze kukopeshwa mil.5 akafungue duka.

Ela ya mshahara wake alisema anaitunza kwa ajili ya kulipia frem MDA wowote ikipatikana.

Nilimuuliza khs ile mil.1.5 iliyokua kwny account yake imefikia wapi, akasema ashaitoa tayar na kuipeleka kwny kikoba.

Anyway,
Alichoongea Nmemuelewa,ila NMEMPA onyo Kali Sana asirudie tena ile tabia, kakiri kutokurudia Tena.

Nmemwambia yeye aendelee TU na kikoba chake, ila wakishavunja decemba asirudie tena kucheza hicho vikoba,ntamfundisha mwnyw taratibu namna nzur ya kutunza pesa zake mwnyw za biashara.

Kile kibubu kilikutwa na jumla ya 486,000.
Pale pale Nmemuongezea na 20,000 juu ili afikishe jumla laki 5 kamili apeleke uko kwny kikoba chake akaongezee kwny Akiba yake.

Kwaiyo Yakawa yameisha hivyo,
Kanichemshia supu ya ng'ombe nmekunywa pale pale na chapati za maji nmeshiba.

Nmeodoka pale kwny saa 4 asbh kuelekea kibaruani kwangu.

Yeye nmemuacha anajiandaa apike chakula ale kabisa ili Kwenda kwenye kikoba chake iyo saa 8 mchana. Kazin leo kasema Yuko off.

Binafsi nmemsamehe kwa Moyo mkunjufu na maisha yanaendelea wakuu.[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
md

mfyuuuu….

hunalolote..

kwani uko ulipoenda kula ulishindwa nini kuchoma kuku na ndizi ukaenda nazo hom?
 
Ndugu yangu unafanya yote haya ila kumbuka kumpa mkeo wa halali gari. Na yeye kwa sababu siku likitokezea tatizo au majanga mchepuko ata kukimbia na mkeo ata hangaika kukuokoa ww

Maneno yangu ukaa chini ukitafakari kiundani utajua nn na namanisha ila kama gari anayo sawa
Iyo gari ya mchepuko hata Sijamnunulia mkuu, nmeiazima tu mahali[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me kazi yangu kukumbushia tuu
We hutak kushauriwaa?
Tuyaache Ayo
Ujue Ushaur mwngn wa Moto Binamu.

Utaniunguza[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila huyu Wifi na kweli hajaamua tu kujiongeza!
Ningeshafanya yangu ningekuwa mke kabisa![emoji3]
Uyu Akili yake bado kabisa kufit kua mke wa mtu.

Kwa akili yake ya sahv
Mwanaume mwanaume yyt akioa ajue ameoa maumivu yu.

Yaani akioa uyu ajue ameoa sex machine tu, Hana kingine Cha kuoffer kwny ndoa ukiondoa ile papuchi yake tamtam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye wifi binam amesamehewa.

Niliwahi kukamatwa na mm siku nimetoka mawenz hospital baada ya kuruhusiwa nashuka stend kubwa pale mosh Town.
Meambiwa natumiwa tax sasa me nkiwa getini pale tax si ikachelewa nkaona njikongoje mdogo mdogo .....nakaribia stend wakat tinaendelea kuwasiliana na tax driver nkajua ndo anatoka stend. Bas nkamwambia amwambie mhusika alishanifwata na hela nimempatia. Nikfika pale nkarudishiwa changu nkajua yameishaa...Wee kumbe yule dereva kanichoma bwana kwamba hakunifwata na yote nlomwambia....kesho yake ndo naambiwa yani wewe wa kudanganya elf 5??? Nliaibika sana asee na kuharibu iman ya jamaa angu kwangu.
 
[emoji134][emoji134][emoji3]
Nachofurahi ni kuwa humuachi unamwambia ukweli tu!

Nasubiri mrejesho wa kesho hapa baada ya kwenda kumsaidia kutafuta[emoji23]
Siti ya mbele kabisa...

BTW, kwann leo hujaenda kwa wifi jmn?
Uyu bila kumwambia ukweli ndo ntazidi kumpoteza na hawez kubadilika.[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatimaye wifi binam amesamehewa.

Niliwahi kukamatwa na mm siku nimetoka mawenz hospital baada ya kuruhusiwa nashuka stend kubwa pale mosh Town.
Meambiwa natumiwa tax sasa me nkiwa getini pale tax si ikachelewa nkaona njikongoje mdogo mdogo .....nakaribia stend wakat tinaendelea kuwasiliana na tax driver nkajua ndo anatoka stend. Bas nkamwambia amwambie mhusika alishanifwata na hela nimempatia. Nikfika pale nkarudishiwa changu nkajua yameishaa...Wee kumbe yule dereva kanichoma bwana kwamba hakunifwata na yote nlomwambia....kesho yake ndo naambiwa yani wewe wa kudanganya elf 5??? Nliaibika sana asee na kuharibu iman ya jamaa angu kwangu.
Pole Sana binam,
Apo tafsir yake Ni kwamba ulkua na shida ya elf 5 na sio usafir.

Aibu Sana hii, Lazima nafsi ikusute ndani kwa ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mrejesho.....

Leo alfajir ya saa 1 asbh nmefika moja kwa Moja kwa mchepuko mpk getini kwake, nmemwamsha kafungua.

Nmeingia mpk chumban,
Chumba chote Kimevurugwa, Anasema kibubu chake Cha chuma aliweka uku uvunguni hakioni kabaki na ufunguo TU.

Nikamwambia lete huo ufunguo wako,akanipa. Kisha nikamwambia kaa chini nikuoneshe kilipo. Akakaa.

Nikamwambia,
"Ebu acha Mambo ya kitoto, kibubu chako ninacho Mimi. Nmekichukua kusudi sababu unadokoa pesa zangu unaficha mle"

Akasema, "you can't be serious"

Nikasema, "subir hapo" basinmeenda nmekitoa kwny gar nmekileta pale nmemuonyesha. Anashangaa sana.

Nikamwambia, "Usintolee macho, nimekichukua kwasababu Kuna Ela zangu humu"

akasema "hapana"
Kiufup alijitetea Sana hamna hata Senti moja yangu mle,
nmemuonyesha ushahidi wa kikaratasi chenye namba nilizonakili pamoja na zile noti 10 zilizobaki kati ya zile 12 za elfu kumi kumi nilizoenda nazo kwake.

Kwamba Kuna noti 2 hazipo Hapa,
na zenye namba hizi hapa, Nna uhakika 100% ziko humu humu kwny sefu yako. Akasema tufungue.

Nmechukua ufunguo wake nemfungua sefu, tukakuta kulikua na noti nyingi mchanganyiko.
Zikachambuliwa za elfu kumi kumi Tupu zikawekwa pembeni.

Kisha zikakaguliwa namba ambapo zile mbili zenye namba nlizoonesha kwny kikaratasi hapo kabla zikapatikana mle mle ndani. Akawa mpole.

Akauliza "zimeingia humu?"

Nikamwambia, "hizi ndo noti zile za mwisho ulizoingiza humu ukidhani nmelewa juz nilipotoka Safar dodoma"

Akabaki anashangaa,

Nikaendelea kumwambia kwamba,
hii tabia ya kunidokolea hajaanzia Kwny tukio hili TU, nikamsimulia visa vyote vya nyuma nilivokuta shoti ya pesa mwny mazingira ya kutatanisha sema imani yangu haikunambia kabisa kua anaweza kuchukua yeye kwa jinsi nilivyomuamini miaka yote tulokua pamoja kwny mahusiano.

Nikamsimulia pia kwamba machale yalinicheza sana kabla ya kuwea mtego kwny tukio la mwisho baada ya hesabu ya zile risiti tulizopewa saluni na bar kukinzana kabisa na pesa niliyobeba wkt natoka home.
Na mtu niliezurura nae siku nzima alkua Ni yeye na sikulewa Wala Nini. Na nyumban hata wife hakugusa suruali yangu. Ndo nlkua nmefika TU natoa mifukoni nakutanana shoti.

Nimemwambia pia asione nmebeba pesa akajua najichotea tu natia mfukoni au natumia tu bila mahesabu,

Nnapobeba pesa nakua nna hesabu zangu tayar na kamwe siwez kusahau pesa niloitafuta kwa jasho langu.

Nmemwambia alichokifanya Ni cha kitoto Sana, Cha aibu Sana na kimemvunjia sana heshima yake.

Anapaswa ajirekebishe HARAKA sana, asitake kunitengenezea mazingira ya kuhisi nnapokua apo kwake na siko sehem salama.

Asitake kunitengenezea mazingira nikitaka Kwenda kwake nihofie usalama wa pesa au Mali zangu zote mifukoni, utadhani naenda kukutana na mwanamke kahaba wa kimboka au uwanja wa fisi.

Kama anashida ya pesa Ni Bora angesema, Kama ilkua Ni kukimbizana na malengo yake ya vikoba ili kufungua duka Ni Bora angefikia TU kiwango flan na Mimi ningeappreciate iyo Nia yake alikopambana na kumboost tu.

Maana sio kila neno langu nnalosema Ni Sheria au mswaafu. Vile vigezo na masharti nilomuwekea mwazo naweza kubadilika anytime kutokana na yeye mwnyw kajitwist vipi. Kuendana na ninachokitaka.

Kiukweli
Kaomba sana radhi nimsamehe Ila kasema yeye Lengo lake kabla ya mwez wa 4 haujaisha alitaman afungue duka hilo.
Eti kwa njia aliyotumia ila alikua anatafuta pesa ajazie ili afikishe haraka Akiba ya mil 2.5 ili aweze kukopeshwa mil.5 akafungue duka.

Ela ya mshahara wake alisema anaitunza kwa ajili ya kulipia frem MDA wowote ikipatikana.

Nilimuuliza khs ile mil.1.5 iliyokua kwny account yake imefikia wapi, akasema ashaitoa tayar na kuipeleka kwny kikoba.

Anyway,
Alichoongea Nmemuelewa,ila NMEMPA onyo Kali Sana asirudie tena ile tabia, kakiri kutokurudia Tena.

Nmemwambia yeye aendelee TU na kikoba chake, ila wakishavunja decemba asirudie tena kucheza hicho vikoba,ntamfundisha mwnyw taratibu namna nzur ya kutunza pesa zake mwnyw za biashara.

Kile kibubu kilikutwa na jumla ya 486,000.
Pale pale Nmemuongezea na 20,000 juu ili afikishe jumla laki 5 kamili apeleke uko kwny kikoba chake akaongezee kwny Akiba yake.

Kwaiyo Yakawa yameisha hivyo,
Kanichemshia supu ya ng'ombe nmekunywa pale pale na chapati za maji nmeshiba.

Nmeodoka pale kwny saa 4 asbh kuelekea kibaruani kwangu.

Yeye nmemuacha anajiandaa apike chakula ale kabisa ili Kwenda kwenye kikoba chake iyo saa 8 mchana. Kazin leo kasema Yuko off.

Binafsi nmemsamehe kwa Moyo mkunjufu na maisha yanaendelea wakuu.[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiukweli
Kaomba sana radhi nimsamehe
 
Pole Sana binam,
Apo tafsir yake Ni kwamba ulkua na shida ya elf 5 na sio usafir.

Aibu Sana hii, Lazima nafsi ikusute ndani kwa ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani niliaibika mnoo
Halafu nlikuwa na hela ya kutosha tu hadi yule mzee alikuwa ananiheshimu na ndo sababu ya kuwa naye alijua me sikuwa njaa njaa. Siku hizi ndo mambo yamebadilika ila soon kitaeleweka na sitaki utani tena. Bora niitwe bahili poa tu
 
Mama J huyu anapendwa balaa
 
Tuyaache Ayo
Ujue Ushaur mwngn wa Moto Binamu.

Utaniunguza[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Binam Acha uoga bwana ..... unatishiwa nyau na ww unaogopa??

Ila fanya yote ila siku ukimuacha wii ake mie ntakukata mazima.
Yani umefanya hadi me nimempenda halafu uzingue.
Hapa nawapangia bongeee la outing kiwanja cha maana pamoja na marafiki zangu ambao hata iwe jua hawaniachii...
Muandalie wii ake kiwalo
 
Back
Top Bottom