Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,214
Hawezi pindua nafasi ya mama G
Ila yeye ana nafasi ndani ya moyo wako .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi pindua nafasi ya mama G
Hilo Ni kweli kabisa[emoji4]Hawezi pindua nafasi ya mama G
Ila yeye ana nafasi ndani ya moyo wako .
Ghaaiiii[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]oooh darling you are soo sweet [emoji16][emoji16]
mpuuzi huyo asikusumbue sana inbobo ua namba kwa ushauri murua zaidi ya huu
Hawez kumwoa huyo ...ila kuna kitu anapata hawez kumwacha ...Yani ulienda Dodoma ili kijana wa watu ahamishwe kikazi? We mzee noma aisee, muoe huyo mcheps awe mke wa pili...ni dhahiri unampenda sana huyo mwanamke, mpe nafasi ya kuwa mke wako.
Sawa kaka huyo ni mke kabisaaMrejesho.....
Leo alfajir ya saa 1 asbh nmefika moja kwa Moja kwa mchepuko mpk getini kwake, nmemwamsha kafungua.
Nmeingia mpk chumban,
Chumba chote Kimevurugwa, Anasema kibubu chake Cha chuma aliweka uku uvunguni hakioni kabaki na ufunguo TU.
Nikamwambia lete huo ufunguo wako,akanipa. Kisha nikamwambia kaa chini nikuoneshe kilipo. Akakaa.
Nikamwambia,
"Ebu acha Mambo ya kitoto, kibubu chako ninacho Mimi. Nmekichukua kusudi sababu unadokoa pesa zangu unaficha mle"
Akasema, "you can't be serious"
Nikasema, "subir hapo" basinmeenda nmekitoa kwny gar nmekileta pale nmemuonyesha. Anashangaa sana.
Nikamwambia, "Usintolee macho, nimekichukua kwasababu Kuna Ela zangu humu"
akasema "hapana"
Kiufup alijitetea Sana hamna hata Senti moja yangu mle,
nmemuonyesha ushahidi wa kikaratasi chenye namba nilizonakili pamoja na zile noti 10 zilizobaki kati ya zile 12 za elfu kumi kumi nilizoenda nazo kwake.
Kwamba Kuna noti 2 hazipo Hapa,
na zenye namba hizi hapa, Nna uhakika 100% ziko humu humu kwny sefu yako. Akasema tufungue.
Nmechukua ufunguo wake nemfungua sefu, tukakuta kulikua na noti nyingi mchanganyiko.
Zikachambuliwa za elfu kumi kumi Tupu zikawekwa pembeni.
Kisha zikakaguliwa namba ambapo zile mbili zenye namba nlizoonesha kwny kikaratasi hapo kabla zikapatikana mle mle ndani. Akawa mpole.
Akauliza "zimeingia humu?"
Nikamwambia, "hizi ndo noti zile za mwisho ulizoingiza humu ukidhani nmelewa juz nilipotoka Safar dodoma"
Akabaki anashangaa,
Nikaendelea kumwambia kwamba,
hii tabia ya kunidokolea hajaanzia Kwny tukio hili TU, nikamsimulia visa vyote vya nyuma nilivokuta shoti ya pesa mwny mazingira ya kutatanisha sema imani yangu haikunambia kabisa kua anaweza kuchukua yeye kwa jinsi nilivyomuamini miaka yote tulokua pamoja kwny mahusiano.
Nikamsimulia pia kwamba machale yalinicheza sana kabla ya kuwea mtego kwny tukio la mwisho baada ya hesabu ya zile risiti tulizopewa saluni na bar kukinzana kabisa na pesa niliyobeba wkt natoka home.
Na mtu niliezurura nae siku nzima alkua Ni yeye na sikulewa Wala Nini. Na nyumban hata wife hakugusa suruali yangu. Ndo nlkua nmefika TU natoa mifukoni nakutanana shoti.
Nimemwambia pia asione nmebeba pesa akajua najichotea tu natia mfukoni au natumia tu bila mahesabu,
Nnapobeba pesa nakua nna hesabu zangu tayar na kamwe siwez kusahau pesa niloitafuta kwa jasho langu.
Nmemwambia alichokifanya Ni cha kitoto Sana, Cha aibu Sana na kimemvunjia sana heshima yake.
Anapaswa ajirekebishe HARAKA sana, asitake kunitengenezea mazingira ya kuhisi nnapokua apo kwake na siko sehem salama.
Asitake kunitengenezea mazingira nikitaka Kwenda kwake nihofie usalama wa pesa au Mali zangu zote mifukoni, utadhani naenda kukutana na mwanamke kahaba wa kimboka au uwanja wa fisi.
Kama anashida ya pesa Ni Bora angesema, Kama ilkua Ni kukimbizana na malengo yake ya vikoba ili kufungua duka Ni Bora angefikia TU kiwango flan na Mimi ningeappreciate iyo Nia yake alikopambana na kumboost tu.
Maana sio kila neno langu nnalosema Ni Sheria au mswaafu. Vile vigezo na masharti nilomuwekea mwazo naweza kubadilika anytime kutokana na yeye mwnyw kajitwist vipi. Kuendana na ninachokitaka.
Kiukweli
Kaomba sana radhi nimsamehe Ila kasema yeye Lengo lake kabla ya mwez wa 4 haujaisha alitaman afungue duka hilo.
Eti kwa njia aliyotumia ila alikua anatafuta pesa ajazie ili afikishe haraka Akiba ya mil 2.5 ili aweze kukopeshwa mil.5 akafungue duka.
Ela ya mshahara wake alisema anaitunza kwa ajili ya kulipia frem MDA wowote ikipatikana.
Nilimuuliza khs ile mil.1.5 iliyokua kwny account yake imefikia wapi, akasema ashaitoa tayar na kuipeleka kwny kikoba.
Anyway,
Alichoongea Nmemuelewa,ila NMEMPA onyo Kali Sana asirudie tena ile tabia, kakiri kutokurudia Tena.
Nmemwambia yeye aendelee TU na kikoba chake, ila wakishavunja decemba asirudie tena kucheza hicho vikoba,ntamfundisha mwnyw taratibu namna nzur ya kutunza pesa zake mwnyw za biashara.
Kile kibubu kilikutwa na jumla ya 486,000.
Pale pale Nmemuongezea na 20,000 juu ili afikishe jumla laki 5 kamili apeleke uko kwny kikoba chake akaongezee kwny Akiba yake.
Kwaiyo Yakawa yameisha hivyo,
Kanichemshia supu ya ng'ombe nmekunywa pale pale na chapati za maji nmeshiba.
Nmeodoka pale kwny saa 4 asbh kuelekea kibaruani kwangu.
Yeye nmemuacha anajiandaa apike chakula ale kabisa ili Kwenda kwenye kikoba chake iyo saa 8 mchana. Kazin leo kasema Yuko off.
Binafsi nmemsamehe kwa Moyo mkunjufu na maisha yanaendelea wakuu.[emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrejesho uko post no. 185 pamoja na no. 204[emoji23][emoji23][emoji23] ila we jamaa na mchepuko wako bna mnafurahisha sana, yani hamuishiwi drama.
Pole lakini, na vp kama asipokuuliza chochote itakuaje?? Utamlipua hivohivo??
Kwa mchepuko 10000!!!! Home 15000 au unaishi we na mkeo bila watoto hata msaidizi?Ndogo Sana?[emoji848]
Si kaongeza buku 5 hiyo mkuu. Mke kwanza ni mzoefu anaweza kujibanabana ila mchepuko kujibana hawezi acha atumbue tu 😁😁Kwa mchepuko 10000!!!! Home 15000 au unaishi we na mkeo bila watoto hata msaidizi?
Kama ni story ya kweli huyu jamaa hata umshauri vipi sidhani kama anaweza kushaurika kuhusu huo mchepuko wake.Ndugu yangu unafanya yote haya ila kumbuka kumpa mkeo wa halali gari. Na yeye kwa sababu siku likitokezea tatizo au majanga mchepuko ata kukimbia na mkeo ata hangaika kukuokoa ww
Maneno yangu ukaa chini ukitafakari kiundani utajua nn na namanisha ila kama gari anayo sawa
Mzee mwenzangu umeanza na mambo zakoYani ulienda Dodoma ili kijana wa watu ahamishwe kikazi? We mzee noma aisee, muoe huyo mcheps awe mke wa pili...ni dhahiri unampenda sana huyo mwanamke, mpe nafasi ya kuwa mke wako.
Huoni unapoka uhuru wake wa kuchagua ampendae??Kuachana na uyu mwanamke haipo,
Iwe kwa hiari yake, kwa kushurutishwa au kushauriwa.
,HAIWEZEKANI kabisa
Uyo bado nipo nipo nae Sana,Huoni unapoka uhuru wake wa kuchagua ampendae??
Kwani yeye hapendi/ kutamani kuolewa na wewe mpango wako ni kumuoa mke wa pili au abaki kua mchepuko mpaka kifo kitapowatenganisha??
Na kumbuka uyo bibie uzee utamnyemelea yale mautundu yatapungua badala yake safari za hospital zitaongezeka, utakua nae kipindi hicho ama utatafuta dogodogo nyingine??
Aisee sema nimependa tu kwa kua una kamfumo dume hivi 👍Uyo bado nipo nipo nae Sana,
khs kumuoa itategemea yy mwnyw kajiweka vipi.
Akiendelea Hivi Hivi sioni hatar hata uzee ukimkuta Hivi Hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekutana kopo na mfunikoWewe na mcheps wako mna drama aisee, Ila una uandishi mzuri wa story