Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Tangu mchepuko wangu aanze vicoba, amekuwa na tabia ya kuniibia

Huyu mrembo ananichekesha sana...

Nili imagine alivyokuta "empty space" uvunguni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na alivyotoa macho kusema" You can't be serious" ??

Sorry, I love laughing too
Ha ha ha ..
Alipigwa na bumbuazi sana.

maana tangu Jana ake nlkua namuigizia kusudi Kama Sijui chochote na ntakwenda kumsaidia kukitafuta kibubu chake mle ndani[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom