Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 689
- 3,373
Japo tulitofautiana kipindi cha nyuma ula mambo yalikaa sawa, sex ilikua vizuri tu na mambo mengine, ila tangu apate ujauzito,
1. Ni kama ananichukia yani hakuna yale mazungunzo tuliokua twafanya, hakuna story
2. Hata akipika sasa siitwi tena anaweka anakula unakuta tu chakula mezani.
3. Namajibu ya shombo na hana hata woga wa kunijibu.
4. Ni mwezi sasa hataki sex kabisa.
Hii ni mimba kweli au kukomoana tu?