Mwanaume huwa hachepuki, anakuwa na Masuria.
1. Naye Daudi akazidi kujitwalia masuria na wake huko Yerusalemu baada ya kutoka Hebroni; wakazaliwa zaidi kwa Daudi wana na binti.
2 Samweli 5:13
2. Lakini wana wa masuria aliokuwa nao Ibrahimu, Ibrahimu akawapa zawadi, naye akawaondoa katika mahali alipokaa Isaka mwanawe, wakati wa uhai wake, waende pande za mashariki, mpaka nchi ya Kedemu.
Mwanzo 25:6
3. (Huyu ni Sulemani). Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo. 1 Wafalme 11:3
Mwanamke ndiye huchepuka kwa kuwa anazini, yaani anafanya uchafu.
Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.
Yohana 8:3
Mwanaume umeamuliwa kutokutamani mke wa mtu. ELEWA MKE WA MWANAUME MWENZIO
Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako. Kutoka 20:17